Mwanamke Mmoja jijini Arusha amechora picha yenye jina la mtumishi wa Huduma ya Ngurumo ya Upako anayefahamika kwa jina la Nabii Mkuu Geor Davie.
Mwanamke huyo alipoulizwa kwa nini amechora tatoo yenye jina la nabii huyo, alijibu anampenda licha ya kuwa anapitia mwengi.
"...Ni jambo la baraka sana mtu mpaka anaamua kuandika jina la nabii mkuu". Baadae nabii huyo alimuomba mwanamke huyo aoneshe picha ya tatoo iliyopo begani mwake kanisani hapo.
Kanisa la ngurumo ya Upako huhudhuriwa na waumini zaidi ya 5000 kila jumapili.
Siku za Karibuni Nabii huyo
amekuwa gumzo mitandaoni kwa kutoa zawadi za Pesa na magari kwa baadhi wasanii wa Muziki..Gudluck Gozbert (Mercedes Benz), Mkali wenu (BMW X5).
Ni sawa. Maana ni kawaida watu kuchora tatoo watu amaa wanyama ama hata masanamu kwenye miili yao ama nyumba zao.
Bora huyo kachora tatoo, kuna wengine unakuta amechonga sanamu la mti, miti hii tunayoiona na akaiunganisha kwa misumari halafu akaanza kuiabudu na kutegemea hilo lisanamu limuombee ama limuepushe na balaa za Dunia, sanamu la miti.
Je huyu nabii Mkuu Geo Davie nini chanzo cha hiyo Fedha anayogawa kama njugu? Kumbuka kanisa lake halina wafuasi wengi na liko based Arusha tu, pili Wachungaji wa makanisa mengine wao ndiyo wanakusanya sadaka kwa waumini ila Nabii Mkuu yeye ndiye huwapa waumini
Je huyu nabii Mkuu Geo Davie nini chanzo cha hiyo Fedha anayogawa kama njugu? Kumbuka kanuisa lake halina wafuasi wengi na liko based Arusha tu, pili Wachungaji wa makanisa mengine wao ndiyo wanakusanya sadaka kwa waumini ila Nabii Mkuu yeye ndiye huwapa waumini