Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

Kama Mungu aishivyo milele. Hutaweza wala hutajua pa kuanzia na hutakuwa na muumini hata mmoja atakayekuja kwenye kanisa utakaloanzisha.
Tena wewe ndo utakua muumini wangu namba moja na utaniita nabii na utaniletea mke wako nimfanyie maombi kwenye chumba changu Cha Siri utaniacha nae tukiwa wawili nimpe upako
 
Nyie mnamshangaa nabii..kwenye ile video mimi kilichonichosha zaidi ni wale waumini. Waumini wanapiga makofi;
✓ Nabii kumsifia mke wa mtu hadharani kwamba mumeo anakuachaje mwanamke mzuri hivi. Tena akasema haya ni mahaba and people are applauding.
✓ Mwanamke..mke wa mtu kuchora tatoo ya jina la mwanaume mwingine.. na fact kwanza ya kuchora tatoo
✓ Nabii kutoa fedha na kumpa mwanamke huyo wakati wao ndo wanaotoa sadaka zile..na wengi wao wanaonekana apeche tu.
✓Mwanamke kumwambia mwanaume asie mume wake kuwa nakupenda sana baba..na ni mume wa mwanamke mwingine. How dare she??

Yule mama kaulizwa anachofanya eti anatembeza viatu..sijui nguo, na ana mgahawa wake..na akasema business zake hazijakua vizuri recently....na proudly kasema picha za nabii zimejaa kwake ndani ya nyumba yake...waumini wakapiga makofi.

Najiuliza wakristo tumerogwa?? Nini iki?? Sitaki kuhukumu sana lakini stickers, picha, culture zenye majina ya watumishi au zinazopresent watumishi kujaza majumbani mwetu for the name ya solid worship..hii si sawa. Haijakaa sawa.

Chukua stickers andika mistari ya biblia ikiri..itumie jaza kwenye kukuta wa nyumba yako..unajaza picha ya mtumishi?? This is a joke....haya bwana Mungu atusaidie..maana mwenyewe saiv huko juu anashangaa tunavyoruka majoka!!
 
Hakuna waumini 5000 pale wakizidi sana ni 1500
 
Nani kakuambia hakusanyi sadaka? Yule ana vitu vinaitwa Gold, Silver, Platnum na kadhalika yaani mnagawanywa hivyo, Jaa sadaka kwake ni ya kiwango fulani
 
Tena wewe ndo utakua muumini wangu namba moja na utaniita nabii na utaniletea mke wako nimfanyie maombi kwenye chumba changu Cha Siri utaniacha nae tukiwa wawili nimpe upako
Haya hongera sana na kuwa na jioni njema.
 
Wacha upumbavu wewe!
 
Mungu atusaidie..maana mwenyewe saiv huko juu anashangaa tunavyoruka majoka!!
Tangu kuumbwa kwa ulimwengu hili ni jipya limshangaze? Mm mwenyewe binadamu wa kawaida halijanishangaza maana tumeona mengi zaidi ya hili. Au hujaona waumini wakibugia jiki? Wake za watu wakiogeshwa na mchungaji? Wanaume na wanawake wakila nyasi kama mbuzi? Sasa unadhani tangu kuanza kwa kanisa kuna mangapi yametokea mpaka awashangae nyinyi wachora tatoo? Huenda hata hatizami. This universe must be HUGE na huenda kuna viumbe vinavutia kutazama.
 
Ontop angalia age ya yule mama alojichora tatoo mimi nilichoka zaidi🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…