Tetesi: Arusha: Aliyehama Kutoka CHADEMA na Kwenda CCM Afukuzwa kwenye Nyumba na Kanisani Waumini Wamkimbia

Hayo ni matatizo yake binafsi, msiyaunganishe na siasa. Katumuliwa alikopanga sababu halipi kodi ya pango, waumini wamemkimbia sababu anawakopa sana pesa.
Ndicho anachostahili.
FISIEM wamempokea wamlipie
 
.....bado Luwassa na Sumaye
 
Watu wanamna hii ni wasaliti mpaka kwa Mungu huwezi ukawasaliti wapiga kura wanaoonekana kwa macho halafu kwa Mugu asiyeonekana kwa macho ukawa salama usaliti wake ni zaidi.
 
Watu wanamna hii ni wasaliti mpaka kwa Mungu huwezi ukawasaliti wapiga kura wanaoonekana kwa macho halafu kwa Mugu asiyeonekana kwa macho ukawa salama usaliti wake ni zaidi.
usaliti haujawai kumwacha mtu salama
 
Kilangila vipi jimbo la Longido?? Au huna habari??
 
Ar ile nchi nyingine madem wanapiga roba gest we jipindue unaona bonge la demu ukiingia geto anakutaim ile unavua shat anakupiga bonge la roba anakupukutisha ela anasepa
 
mumdai na sadaka zenu zote alizobugia manina huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…