Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Kabla yakr alikuwa ccm, hapo nani kasalitiwa !?Usaliti utamtafuna hadi siku ya mwisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla yakr alikuwa ccm, hapo nani kasalitiwa !?Usaliti utamtafuna hadi siku ya mwisho.
ndio umetoka huko toilet?Hata wakimfukuza chooni haisadiii keahahamua kuwahama chadema nyumbu
unakuja kufanya nini na wewe huku kumbe ukweli unauma?MODS UZI KAMA HIZI MNAZIACHA KWA NINI
FISIEM wamempokea wamlipieHayo ni matatizo yake binafsi, msiyaunganishe na siasa. Katumuliwa alikopanga sababu halipi kodi ya pango, waumini wamemkimbia sababu anawakopa sana pesa.
Ndicho anachostahili.
.....bado Luwassa na SumayeYeye katishia Kujamba Watu wameukweka / wamekunya kabisa. Hakuna Watu ambao huwa nawaamini kwa maamuzi magumu na ya mwisho kama wa Mkoa wa Arusha. Pamoja na ujanja wangu na uchakaramu wangu wote huwa nikienda Mkoani Arusha nakuwa na adabu zangu zote mpaka siku ninayoondoka.
Chadema huenda watu wa hovyo kama mafisadi !Yaani mtu wa hovyo hivi aliwezaje kugombea cdm na kushinda udiwani?
.Sasa hizo pesa alizohongwa si alipe hayo madeni?
hahahahaha nimecheka sana kwa kichaaMav¡ hayana mwiba but ukiyakanyaga razima uchechemeee.
Ccm hamwezi kunielewa
kweli niwa hovyo ndio maana wanajibu hoja kwa hoja na si hoja kwa mtutu wa BundukiChadema huenda watu wa hovyo kama mafisadi !
usaliti haujawai kumwacha mtu salamaWatu wanamna hii ni wasaliti mpaka kwa Mungu huwezi ukawasaliti wapiga kura wanaoonekana kwa macho halafu kwa Mugu asiyeonekana kwa macho ukawa salama usaliti wake ni zaidi.
ccm wamemchezesha gwaride ameambulia patupuSasa hizo pesa alizohongwa si alipe hayo madeni?
CCM kimeharibu sana WatanzaniaApambane na hali yake...
Kilangila vipi jimbo la Longido?? Au huna habari??Hakuna mtanzania mwenye mapenzi ya kweli na CCM ya sasa, ni pesa tu. Hata uongozi ndani ya CCM unapatikana kwa njia ya pes "rushwa'. Pitia kesi za uchaguzi zilizopita utaona mifano mingi sana ya viti vya ubunge vingi tu vya wagombea wa CCM vilivyotenguliwa kutokana na rushwa. Ukipata kimoja tu cha mbunge wa CHADEMA kilichotenguliwa kwa sababu hiyo, nijulishe.
Salakasi hzoSasa hizo pesa alizohongwa si alipe hayo madeni?
Ar ile nchi nyingine madem wanapiga roba gest we jipindue unaona bonge la demu ukiingia geto anakutaim ile unavua shat anakupiga bonge la roba anakupukutisha ela anasepaYeye katishia Kujamba Watu wameukweka / wamekunya kabisa. Hakuna Watu ambao huwa nawaamini kwa maamuzi magumu na ya mwisho kama wa Mkoa wa Arusha. Pamoja na ujanja wangu na uchakaramu wangu wote huwa nikienda Mkoani Arusha nakuwa na adabu zangu zote mpaka siku ninayoondoka.
aiseeAr ile nchi nyingine madem wanapiga roba gest we jipindue unaona bonge la demu ukiingia geto anakutaim ile unavua shat anakupiga bonge la roba anakupukutisha ela anasepa
Yaani mnapenda kujipa matumaini hewa, pole sana ewe mpumbafufsafi sana