Tetesi: Arusha: Aliyehama Kutoka CHADEMA na Kwenda CCM Afukuzwa kwenye Nyumba na Kanisani Waumini Wamkimbia

Mkuu umeandika Kama una roho wa bwana. Kwa hiyo dini na siasa havitangamani?
 
Siasa kitu kicha ajabu sana check diwani anavyosoteshwa, atajuta kuhama
 
Chezea A town wewe hawataki kabisa ujinga ujinga usio vumilika hata Kidogo wako seriously /safi sana!!!
 
Hayo ni matatizo yake binafsi, msiyaunganishe na siasa. Katumuliwa alikopanga sababu halipi kodi ya pango, waumini wamemkimbia sababu anawakopa sana pesa.
Ndicho anachostahili.
Si mmlipie?
 
Mkuu hii ni tahadhari tu. Watu wasiojulikana na Nissan nyeupe na SMG zao bado wapo mtaani wakiendelea na mawindo yao ili kuwaua wote ambao wanaikoromea hii Serikali dhalimu.

hivi mimi ni Chadema au Ni Mwanahabari Huru? kazi yangu ni Kuhabarisha karibu officini kwangu niko Mwembe yanga kiongozi "Mwanahabari Huru"
 
Sasa hizo pesa alizohongwa si alipe hayo madeni?
Kule unadanganywa na advance nyingine tutakukabidhi ukisharudisha card mkimaliza tu kila ukipiga namba ya yule jamaa mwenye domo hapokei mwisho unachezea ban yakutosha
 
Wamkimbie. Wasimkimbie yote tisa kumi keshajitambua huyo
 
Chichiem ni chama kubwa atagombea tena Udiwan atashinda na waumini watarudi tena maana wanampenda mtumishi wao Aitwe Mhe badala ya mchungaji na watachangia Kodi ya nyumba ya Mhe! That's all!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…