Tetesi: Arusha: Aliyehama Kutoka CHADEMA na Kwenda CCM Afukuzwa kwenye Nyumba na Kanisani Waumini Wamkimbia

Wale walivunja sheria ya nchi kwa kujenga sehemu ambayo haitakiwi kisheria
Hujajibu swali!! Mtu akivunja sheria anaadhibiwa kisheria au sio? Je waliadhibiwa mahakama ipi?
 
Mkuu siku nyingine ukija Arusha tutafutane, mbali na siasa watu wa Arusha pia ni wakarimu...ila ukiingia ulingoni kwa masuala yahusuyo siasa uwe smart enough.

Sithubutu ng'o Mkuu. Fujo zangu zote nazifanyia huku huku tu Dar es Salaam huko Kwenu Arusha ' adabu ' zangu huwa ni za ' Kutukuka ' kabisa. Wewe kama Makahaba / Malaya ( wauza Mbunye ) wengi wa Arusha huwa na Visu viunoni mwao au katika mikoba yao unadhani hiyo pekee tu haitoshi kukuambia kuwa Arusha Shikamoo?
 
Kama anahayo matatizo si aliyatengeneza akiwa chadema?

Sasa amekuwa mtu safi atalipa hayo madeni na mikopo na ataacha kuchukua pesa za watu.
 
Kama anahayo matatizo si aliyatengeneza akiwa chadema?

Sasa amekuwa mtu safi atalipa hayo madeni na mikopo na ataacha kuchukua pesa za watu.
Ameshakuwa mtu safi kwa kuwa na Matatizo nakuchukua pesa za watu nakukimbia?
 
Sasa wewe Ndugu Mwanahabari Huru unasemaje kwa hili????!!!
 
Ina maana wanavyosemaga kua Bwana "Slow" hua anawakopaga hawa mamluki hawapi cash ni kweli kumbe??
 
Waumini wa siku hizi hawapendi unafiki,
Wamegoma kusalishwa na mnafiki msaliti
 
Sasa wewe unafurahia diwani wenu kuwa na madeni, maana hayo madeni kayapatia hukohuko Chadema!!
Na huko ndio walikuwa wanamwamini sana, mpaka wakamkopesha. Sasa huko aliko wanadhani hataweza kulipa!!
 
mbaya saisi Mchungaji ameanza kunywa Banana na Konyagi
Kukopwa halafu aslipwe kubaya sana Mkuu wangu.
Uje tena huku waumini wamemkimbia, huku mwenyenyumba kachachamaa,
Wacha tu apunguze mawazo na stress
 
Kukopwa halafu aslipwe kubaya sana Mkuu wangu.
Uje tena huku waumini wamemkimbia, huku mwenyenyumba kachachamaa,
Wacha tu apunguze mawazo na stress
wewe unafikiri mpaka anatembea na Konyagi mfukoni ni Mchezo
 
wewe unafikiri mpaka anatembea na Konyagi mfukoni ni Mchezo
Mkuu kama uko Arusha jaribu kumnusuru huyo Jamaa,
Manake ukitoka hatua ya kutembea na Konyagi mfukoni nina uhakika hatua inayofuata ni kuongea mwenyewe mabarabarani
 
Mkuu kama uko Arusha jaribu kumnusuru huyo Jamaa,
Manake ukitoka hatua ya kutembea na Konyagi mfukoni nina uhakika hatua inayofuata ni kuongea mwenyewe mabarabarani
Mkuu sipo Arusha Kuna wawakilishi wetu wapo Huko wanafwatilia hili Swala kwa ukaribu sana
 
Mkuu sipo Arusha Kuna wawakilishi wetu wapo Huko wanafwatilia hili Swala kwa ukaribu sana
Msaidieni kweli,
Kumbukeni ni Mtu mwenye Familia, msameheni tu ni tamaa tu ilimponza, shetani alimpitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…