Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Hujajibu swali!! Mtu akivunja sheria anaadhibiwa kisheria au sio? Je waliadhibiwa mahakama ipi?Wale walivunja sheria ya nchi kwa kujenga sehemu ambayo haitakiwi kisheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali!! Mtu akivunja sheria anaadhibiwa kisheria au sio? Je waliadhibiwa mahakama ipi?Wale walivunja sheria ya nchi kwa kujenga sehemu ambayo haitakiwi kisheria
Mkuu siku nyingine ukija Arusha tutafutane, mbali na siasa watu wa Arusha pia ni wakarimu...ila ukiingia ulingoni kwa masuala yahusuyo siasa uwe smart enough.
Kuna tofauti gani? au August hiyo ilikuwa ya mwaka 1961?Yaani tukio la August ndio unaleta leo??
Ameshakuwa mtu safi kwa kuwa na Matatizo nakuchukua pesa za watu nakukimbia?Kama anahayo matatizo si aliyatengeneza akiwa chadema?
Sasa amekuwa mtu safi atalipa hayo madeni na mikopo na ataacha kuchukua pesa za watu.
Na Mwanahabari Huru
Habari zilizotufikia Kutoka Jijini Arusha zinatanabaisha, Aliyekuwa Mdiwani wa Kata ya Kimandolu Jijini Humo Arusha zinaeleza siku Moja baada ya Mchungaji huyo mwenye kanisa lake la Kiroho ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa amepanga kwani anadeni linalokisiwa la shilingi milioni Tatu nanusu.
Vile vile kwenye kanisa lake lake juzi kwenye ibada ya Jumapili alipokwenda kusalisha waumini wa hilo kanisa wamemuhama na alijikuta na Wanakwaya tu ndio wapo kanisani, Kibaya zaidi kundi la wanaume na wanawake walimfuata na kumtishia kumpeleka polisi kwa kile wanachodai ni pesa nyingi alizochukuwa kwao kwa mkopo.
Juhudi za Kumtafuta diwani huyo kutwa leo zimezaa matunda kwani alikuwa hapatikani kwenye simu tokea alivyojiunga na Chama cha mapinduzi, Mwanahabari huru alivyomtafuta amempata na baada ya kumumuliza maswali hayo hapo juu amesema siwezi kujibu lakini nikweli nadaiwa na kukata simu
Ina maana wanavyosemaga kua Bwana "Slow" hua anawakopaga hawa mamluki hawapi cash ni kweli kumbe??Na Mwanahabari Huru
Habari zilizotufikia Kutoka Jijini Arusha zinatanabaisha, Aliyekuwa Mdiwani wa Kata ya Kimandolu Jijini Humo Arusha zinaeleza siku Moja baada ya Mchungaji huyo mwenye kanisa lake la Kiroho ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa amepanga kwani anadeni linalokisiwa la shilingi milioni Tatu na nusu.
Vile vile kwenye kanisa lake lake juzi kwenye ibada ya Jumapili alipokwenda kusalisha waumini wa hilo kanisa wamemuhama na alijikuta na Wanakwaya tu ndio wapo kanisani, Kibaya zaidi kundi la wanaume na wanawake walimfuata na kumtishia kumpeleka polisi kwa kile wanachodai ni pesa nyingi alizochukuwa kwao kwa mkopo.
Juhudi za Kumtafuta diwani huyo kutwa leo zimezaa matunda kwani alikuwa hapatikani kwenye simu tokea alivyojiunga na Chama cha mapinduzi, Mwanahabari huru alivyomtafuta amempata na baada ya kumumuliza maswali hayo hapo juu amesema siwezi kujibu lakini nikweli nadaiwa na kukata simu
kiongozi hilo ni jibuIna maana wanavyosemaga kua Bwana "Slow" hua anawakopaga hawa mamluki hawapi cash ni kweli kumbe??
Waumini wa siku hizi hawapendi unafiki,Na Mwanahabari Huru
Habari zilizotufikia Kutoka Jijini Arusha zinatanabaisha, Aliyekuwa Mdiwani wa Kata ya Kimandolu Jijini Humo Arusha zinaeleza siku Moja baada ya Mchungaji huyo mwenye kanisa lake la Kiroho ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa amepanga kwani anadeni linalokisiwa la shilingi milioni Tatu nanusu.
Vile vile kwenye kanisa lake lake juzi kwenye ibada ya Jumapili alipokwenda kusalisha waumini wa hilo kanisa wamemuhama na alijikuta na Wanakwaya tu ndio wapo kanisani, Kibaya zaidi kundi la wanaume na wanawake walimfuata na kumtishia kumpeleka polisi kwa kile wanachodai ni pesa nyingi alizochukuwa kwao kwa mkopo.
Juhudi za Kumtafuta diwani huyo kutwa leo zimezaa matunda kwani alikuwa hapatikani kwenye simu tokea alivyojiunga na Chama cha mapinduzi, Mwanahabari huru alivyomtafuta amempata na baada ya kumumuliza maswali hayo hapo juu amesema siwezi kujibu lakini nikweli nadaiwa na kukata simu
Na huko ndio walikuwa wanamwamini sana, mpaka wakamkopesha. Sasa huko aliko wanadhani hataweza kulipa!!Sasa wewe unafurahia diwani wenu kuwa na madeni, maana hayo madeni kayapatia hukohuko Chadema!!
mbaya saisi Mchungaji ameanza kunywa Banana na KonyagiWaumini wa siku hizi hawapendi unafiki,
Wamegoma kusalishwa na mnafiki msaliti
Kukopwa halafu aslipwe kubaya sana Mkuu wangu.mbaya saisi Mchungaji ameanza kunywa Banana na Konyagi
Nadhani ni muda muafaka kwake kujikita ktka kucheza Biko , mana kwenye Udiwani alishindwa kumuunga mkono Sizonje, Wako wapiiiii watu wakooooooomwambie anione
wewe unafikiri mpaka anatembea na Konyagi mfukoni ni MchezoKukopwa halafu aslipwe kubaya sana Mkuu wangu.
Uje tena huku waumini wamemkimbia, huku mwenyenyumba kachachamaa,
Wacha tu apunguze mawazo na stress
Mkuu kama uko Arusha jaribu kumnusuru huyo Jamaa,wewe unafikiri mpaka anatembea na Konyagi mfukoni ni Mchezo
Mkuu sipo Arusha Kuna wawakilishi wetu wapo Huko wanafwatilia hili Swala kwa ukaribu sanaMkuu kama uko Arusha jaribu kumnusuru huyo Jamaa,
Manake ukitoka hatua ya kutembea na Konyagi mfukoni nina uhakika hatua inayofuata ni kuongea mwenyewe mabarabarani
Msaidieni kweli,Mkuu sipo Arusha Kuna wawakilishi wetu wapo Huko wanafwatilia hili Swala kwa ukaribu sana
pia akumbuke tamaa ni mbaya sana na amechagua kwenda upande wa MaigizoMsaidieni kweli,
Kumbukeni ni Mtu mwenye Familia, msameheni tu ni tamaa tu ilimponza, shetani alimpitia
Mav¡ hayana mwiba but ukiyakanyaga razima uchechemeee.
Ccm hamwezi kunielewa