realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
Kwa hiyo mmefurahia kuchukua oil chafu,sio?Sasa wewe unafurahia diwani wenu kuwa na madeni, maana hayo madeni kayapatia hukohuko Chadema!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mmefurahia kuchukua oil chafu,sio?Sasa wewe unafurahia diwani wenu kuwa na madeni, maana hayo madeni kayapatia hukohuko Chadema!!
Yeye katishia Kujamba Watu wameukweka / wamekunya kabisa. Hakuna Watu ambao huwa nawaamini kwa maamuzi magumu na ya mwisho kama wa Mkoa wa Arusha. Pamoja na ujanja wangu na uchakaramu wangu wote huwa nikienda Mkoani Arusha nakuwa na adabu zangu zote mpaka siku ninayoondoka.
mkuu pia tukumbuke maigizo ni mengi sanaSi utumie mapesa uliyojazwa na hao 'makinikia' kulipa madeni!
Jibu swali langu ndo uulizekabla sijakujibu utapeli unaruhusiwa duniani na hata Mbinguni?
Mnafiki katika ubora wako. Eti mwanahabari huru my foot!!hivi mimi ni Chadema au Ni Mwanahabari Huru? kazi yangu ni Kuhabarisha karibu officini kwangu niko Mwembe yanga kiongozi "Mwanahabari Huru"
Tena anatakiwa na hilo kanisa lipigwe marufuku maana linasababishia watu kelele kwenye makazi ya watu.safi sana
kwani kudaiwa ni dhambi? Nchi inadaiwa itakuwa individual?? Siasa uchwara kwanini alipokuwa Chadema mbona hukuandika kuwa anadaiwa?? Deni limejulikana baada ya kuhama Chadema??!!Na Mwanahabari Huru
Habari zilizotufikia Kutoka Jijini Arusha zinatanabaisha, Aliyekuwa Mdiwani wa Kata ya Kimandolu Jijini Humo Arusha zinaeleza siku Moja baada ya Mchungaji huyo mwenye kanisa lake la Kiroho ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa amepanga kwani anadeni linalokisiwa la shilingi milioni Tatu nanusu.
Vile vile kwenye kanisa lake lake juzi kwenye ibada ya Jumapili alipokwenda kusalisha waumini wa hilo kanisa wamemuhama na alijikuta na Wanakwaya tu ndio wapo kanisani, Kibaya zaidi kundi la wanaume na wanawake walimfuata na kumtishia kumpeleka polisi kwa kile wanachodai ni pesa nyingi alizochukuwa kwao kwa mkopo.
Juhudi za Kumtafuta diwani huyo kutwa leo zimezaa matunda kwani alikuwa hapatikani kwenye simu tokea alivyojiunga na Chama cha mapinduzi, Mwanahabari huru alivyomtafuta amempata na baada ya kumumuliza maswali hayo hapo juu amesema siwezi kujibu lakini nikweli nadaiwa na kukata simu
Ameanza kuisoma Namba mapema!! Kwanza Hafai kua kiongozi Hana Miiko ya UngoziNa Mwanahabari Huru
Habari zilizotufikia Kutoka Jijini Arusha zinatanabaisha, Aliyekuwa Mdiwani wa Kata ya Kimandolu Jijini Humo Arusha zinaeleza siku Moja baada ya Mchungaji huyo mwenye kanisa lake la Kiroho ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa amepanga kwani anadeni linalokisiwa la shilingi milioni Tatu nanusu.
Vile vile kwenye kanisa lake lake juzi kwenye ibada ya Jumapili alipokwenda kusalisha waumini wa hilo kanisa wamemuhama na alijikuta na Wanakwaya tu ndio wapo kanisani, Kibaya zaidi kundi la wanaume na wanawake walimfuata na kumtishia kumpeleka polisi kwa kile wanachodai ni pesa nyingi alizochukuwa kwao kwa mkopo.
Juhudi za Kumtafuta diwani huyo kutwa leo zimezaa matunda kwani alikuwa hapatikani kwenye simu tokea alivyojiunga na Chama cha mapinduzi, Mwanahabari huru alivyomtafuta amempata na baada ya kumumuliza maswali hayo hapo juu amesema siwezi kujibu lakini nikweli nadaiwa na kukata simu
Alisomeshwa namba! Kama wale wa wakati wa kampeni...Sasa hizo pesa alizohongwa si alipe hayo madeni?
Acheni kulialia msaidieni pa kulalaHopeless kwani kudaiwa ni dhambi? Nchi inadaiwa itakuwa individual?? Siasa uchwara kwanini alipokuwa Chadema mbona hukuandika kuwa anadaiwa?? Deni limejulikana baada ya kuhama Chadema??!!
Wewe ni Chadema acha uongo ni mwanahabari wa Chadema wala usikatae!hivi mimi ni Chadema au Ni Mwanahabari Huru? kazi yangu ni Kuhabarisha karibu officini kwangu niko Mwembe yanga kiongozi "Mwanahabari Huru"
Mkuu, usicheze na CCM. Umesahau wale madiwani wa Kilimanjaro walivyoingizwa mjini? Pesa ziliingizwa kwenye akaunti zao, wakaja Lumumba Dsm wakapokelewa na Polepole. Baada ya shughuli mmoja wao akaenda benki kuchota za kwenda kujipongeza hapa jijini akakuta zote zimetolewa. Alipouliza benki, akaambiwa benki imejulishwa kwamba pesa hizo ziliingizwa kimakosa.Jinsi hali ilivyo bana kiuchumi akili ni kuchukua kadi yako ya Chadema unaenda kwa Polepole unamwambia nataka kurudisha hii kadi kwa bosi wako andaa drama tuu.
Unakula mshiko kisha unalala mbele kama wale wa Arusha waliokula kona.
Huyo jamaa yeye kajisahau kulala mbele sasa ataipata!