Tetesi: Arusha: Aliyehama Kutoka CHADEMA na Kwenda CCM Afukuzwa kwenye Nyumba na Kanisani Waumini Wamkimbia

Mkuu, usicheze na CCM. Umesahau wale madiwani wa Kilimanjaro walivyoingizwa mjini? Pesa ziliingizwa kwenye akaunti zao, wakaja Lumumba Dsm wakapokelewa na Polepole. Baada ya shughuli mmoja wao akaenda benki kuchota za kwenda kujipongeza hapa jijini akakuta zote zimetolewa. Alipouliza benki, akaambiwa benki imejulishwa kwamba pesa hizo ziliingizwa kimakosa.

Namshangaa huyo Diwani aka Mchungaji kwa kuingia mkenge huo. Wanajamvi wanahoji kwa nini asilipe pesa alizohongwa? Jibu ni kwamba CCM haitoi pesa. Ni usanii kwa kwenda mbele.
Mfumo ulishadumaza uwezo wa kufikiri wa watu!
 
Atapata Serikali haishindwi kitu mkuu! Haiwezi mwacha raia wake anasumbuliwa na wanasiasa uchwara!
Kabisa maana wale wa pale Jangwani, Kimara, Mbezi, Bonde la Mkwajuni na kwingineko ambako bomoa mkome ilipita wote wamepata hifadhi njema tunawaona 😀😀😀
Au wale sio raia wenu?
 
Mkuu, usicheze na CCM. Umesahau wale madiwani wa Kilimanjaro walivyoingizwa mjini? Pesa ziliingizwa kwenye akaunti zao, wakaja Lumumba Dsm wakapokelewa na Polepole. Baada ya shughuli mmoja wao akaenda benki kuchota za kwenda kujipongeza hapa jijini akakuta zote zimetolewa. Alipouliza benki, akaambiwa benki imejulishwa kwamba pesa hizo ziliingizwa kimakosa.

Namshangaa huyo Diwani aka Mchungaji kwa kuingia mkenge huo. Wanajamvi wanahoji kwa nini asilipe pesa alizohongwa? Jibu ni kwamba CCM haitoi pesa. Ni usanii kwa kwenda mbele.

Hivi mkuu naomba nikuulize mwanachama wa Chadema akihama ni lazima awe amenunuliwa? Kwa maana nyingine wanachama wa Chadema ni rahisi sana kununuliwa??? Ila wanaccm wakihamia Chadema wamejitambua au wamekinunua Chadema kama ambavyo Lowassa alivyonunua Chadema mpaka akawapa ubunge viti maalum wanaccm?? Hebu jaribu kujitambua basi kidogo utoke kwenye makucha ya siasa uchwara!!
 
Huyu hakutumia akili, angesema ili ahamie chama kileeee, alipiwe madeni yake pamoja na kodi ndio atoke, angekuwa kaokota dodo chini ya mnazi. Akili ni nywele!
 
Kabisa maana wale wa pale Jangwani, Kimara, Mbezi, Bonde la Mkwajuni na kwingineko ambako bomoa mkome ilipita wote wamepata hifadhi njema tunawaona 😀😀😀
Au wale sio raia wenu?
Wale walivunja sheria ya nchi kwa kujenga sehemu ambayo haitakiwi kisheria
 
Duhhh!sias na neno LA mungu WAP na wp?hz hela ee keel yuda kaacha roho kamili dunian
 
Hivi mkuu naomba nikuulize mwanachama wa Chadema akihama ni lazima awe amenunuliwa? Kwa maana nyingine wanachama wa Chadema ni rahisi sana kununuliwa??? Ila wanaccm wakihamia Chadema wamejitambua au wamekinunua Chadema kama ambavyo Lowassa alivyonunua Chadema mpaka akawapa ubunge viti maalum wanaccm?? Hebu jaribu kujitambua basi kidogo utoke kwenye makucha ya siasa uchwara!!
e4746930cf01fc639432e26931bdaa3f.jpg
 
Hiyo ndio Arusha ukijichanganya tu huangaliwi wasifu, ukubwa, uwezo, heshima wala imani.
 
Hivi mkuu naomba nikuulize mwanachama wa Chadema akihama ni lazima awe amenunuliwa? Kwa maana nyingine wanachama wa Chadema ni rahisi sana kununuliwa??? Ila wanaccm wakihamia Chadema wamejitambua au wamekinunua Chadema kama ambavyo Lowassa alivyonunua Chadema mpaka akawapa ubunge viti maalum wanaccm?? Hebu jaribu kujitambua basi kidogo utoke kwenye makucha ya siasa uchwara!!

Hakuna mtanzania mwenye mapenzi ya kweli na CCM ya sasa, ni pesa tu. Hata uongozi ndani ya CCM unapatikana kwa njia ya pes "rushwa'. Pitia kesi za uchaguzi zilizopita utaona mifano mingi sana ya viti vya ubunge vingi tu vya wagombea wa CCM vilivyotenguliwa kutokana na rushwa. Ukipata kimoja tu cha mbunge wa CHADEMA kilichotenguliwa kwa sababu hiyo, nijulishe.
 
Back
Top Bottom