Atapata Serikali haishindwi kitu mkuu! Haiwezi mwacha raia wake anasumbuliwa na wanasiasa uchwara!Acheni kulialia msaidieni pa kulala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapata Serikali haishindwi kitu mkuu! Haiwezi mwacha raia wake anasumbuliwa na wanasiasa uchwara!Acheni kulialia msaidieni pa kulala
Mfumo ulishadumaza uwezo wa kufikiri wa watu!Mkuu, usicheze na CCM. Umesahau wale madiwani wa Kilimanjaro walivyoingizwa mjini? Pesa ziliingizwa kwenye akaunti zao, wakaja Lumumba Dsm wakapokelewa na Polepole. Baada ya shughuli mmoja wao akaenda benki kuchota za kwenda kujipongeza hapa jijini akakuta zote zimetolewa. Alipouliza benki, akaambiwa benki imejulishwa kwamba pesa hizo ziliingizwa kimakosa.
Namshangaa huyo Diwani aka Mchungaji kwa kuingia mkenge huo. Wanajamvi wanahoji kwa nini asilipe pesa alizohongwa? Jibu ni kwamba CCM haitoi pesa. Ni usanii kwa kwenda mbele.
usitutoe kwenye mjadalaCHADEMA bhana kwahiyo mnafurai sana ..Hivi bado mpoNairobi
Kabisa maana wale wa pale Jangwani, Kimara, Mbezi, Bonde la Mkwajuni na kwingineko ambako bomoa mkome ilipita wote wamepata hifadhi njema tunawaona 😀😀😀Atapata Serikali haishindwi kitu mkuu! Haiwezi mwacha raia wake anasumbuliwa na wanasiasa uchwara!
inaweza kuwa mimi mnafiki lakini najibu hoja kwa hoja siyo Mtutu wa BundukiMnafiki katika ubora wako. Eti mwanahabari huru my foot!!
Mkuu, usicheze na CCM. Umesahau wale madiwani wa Kilimanjaro walivyoingizwa mjini? Pesa ziliingizwa kwenye akaunti zao, wakaja Lumumba Dsm wakapokelewa na Polepole. Baada ya shughuli mmoja wao akaenda benki kuchota za kwenda kujipongeza hapa jijini akakuta zote zimetolewa. Alipouliza benki, akaambiwa benki imejulishwa kwamba pesa hizo ziliingizwa kimakosa.
Namshangaa huyo Diwani aka Mchungaji kwa kuingia mkenge huo. Wanajamvi wanahoji kwa nini asilipe pesa alizohongwa? Jibu ni kwamba CCM haitoi pesa. Ni usanii kwa kwenda mbele.
Wale walivunja sheria ya nchi kwa kujenga sehemu ambayo haitakiwi kisheriaKabisa maana wale wa pale Jangwani, Kimara, Mbezi, Bonde la Mkwajuni na kwingineko ambako bomoa mkome ilipita wote wamepata hifadhi njema tunawaona 😀😀😀
Au wale sio raia wenu?
Yaani tukio la August ndio unaleta leo??Ofisi mbili za mawakili Arusha zavunjwa, vifaa vyaporwa
Watu wasiojulikana vs Wanasheria. Poleni wanasheria
au waliambiwa ushahidi umetunzwa ofisi hizo?
Wewe unamjua ngowi au unajibu tuHata kabla uongo mwingi uliandikwa juu yao.
Hivi mkuu naomba nikuulize mwanachama wa Chadema akihama ni lazima awe amenunuliwa? Kwa maana nyingine wanachama wa Chadema ni rahisi sana kununuliwa??? Ila wanaccm wakihamia Chadema wamejitambua au wamekinunua Chadema kama ambavyo Lowassa alivyonunua Chadema mpaka akawapa ubunge viti maalum wanaccm?? Hebu jaribu kujitambua basi kidogo utoke kwenye makucha ya siasa uchwara!!
Kumbe na wewe ni chalii? Basi nimebwaga manyanga mkuu!!
Tokea lini umeanza kujibu hoja kwa hoja mzandiki wewe!?inaweza kuwa mimi mnafiki lakini najibu hoja kwa hoja siyo Mtutu wa Bunduki
Hivi mkuu naomba nikuulize mwanachama wa Chadema akihama ni lazima awe amenunuliwa? Kwa maana nyingine wanachama wa Chadema ni rahisi sana kununuliwa??? Ila wanaccm wakihamia Chadema wamejitambua au wamekinunua Chadema kama ambavyo Lowassa alivyonunua Chadema mpaka akawapa ubunge viti maalum wanaccm?? Hebu jaribu kujitambua basi kidogo utoke kwenye makucha ya siasa uchwara!!
Naona unaiga mfano wa Mwenyekiti wako alivyotukana kule Arusha akiwa jukwaani eti "wapumbavu nyie". Bila kujua amenaswa na kinasa sauti.Tokea lini umeanza kujibu hoja kwa hoja mzandiki wewe!?
Usiukalie vibaya utakuchoma. Sumu ya chuki na ukabila inawamaliza.Naona unaiga mfano wa Mwenyekiti wako alivyotukana kule Arusha akiwa jukwaani eti "wapumbavu nyie". Bila kujua amenaswa na kinasa sauti.
Amuulize Shigongo anaijua ccm vizuri sana.Sasa hizo pesa alizohongwa si alipe hayo madeni?