Arusha: Aliyekuwa Mgombea wa Ujumbe katika Serikali ya Mtaa akutwa kwake akiwa amefariki huku akiwa na alama kukatwa shingoni

Arusha: Aliyekuwa Mgombea wa Ujumbe katika Serikali ya Mtaa akutwa kwake akiwa amefariki huku akiwa na alama kukatwa shingoni

.....kama ni sababu za kisiasa CDM walishajitoa kwenye uchaguzi, wacha polisi wachunguze tu.
 
Tayari CCM ishamsopoti wa kumbambika kesi ahangaike nayo.
 
Yani inasikitisha sana walai, unamchinja mtu kisa uchaguzi...km una ulazima wa kushinda iba kura basi
 
Rip
Yani inasikitisha sana walai, unamchinja mtu kisa uchaguzi...km una ulazima wa kushinda iba kura basi
Screenshot_20191124-182933_Lite~2.jpeg
 
Unaua mwenzio kama wewe hautakufa?

Hongera Mbowe na Chadema na vyama vyote vya upinzani CCM walitaka tuchinjane kama ivi mmetuepusha kwa mengi.
uyu mzee ametugawa kwakwel nchi yetu haikuwa na ubaguzi wa kivyama hadi kufikia kuuana, halafu kwann akifa mtu wa chama pinzani polisi huwa hawaonyeshi kujali sana
 
vijana wadogo mnatafuta umaarufu kupitia siasa kama vile hamjui kua siasa ni.mchezo mchafu! hivi hakuna issue nyingine za kufanya??
Umezingua chief japo kikatiba uko sahihi
 
Back
Top Bottom