Wana watakula mfugo....kuumiza bila sababu. Wakati mapenzi kitu cha hiariAnajiharibia maisha yake, kwa mtu mmekutana mkiwa na meno 32. Kuna watu wanapenda karaha katika hii dunia. Ninavyopenda uhuru wangu. Kisa wivu wa mapenzi, upewe mvua jela. Acha ahukumiwe, akutane na wababe wenzake jela.
Mmbulu akishakuambia mjomba jua ni mchepuko wake huyo. Tatizo ni kwa huyo kijana kujifanya ana wivu na mapenzi sana Kwa mwanamke ambaye kwa mtazamo tu wa nje (Mungu anisamehe km sio kweli) anaonekana ni malaya. Pia ukisikiliza historia huyo jamaa alimkuta na watoto sasa alifikiri yeye ana akili kuliko hao waliomzalisha na kulala mbele?Imekula kwake,angemuacha tu,kuliko kumfanyia hivyo.
Rai yangu kwa wadada na wamama,kama unajijua wewe unataka uhuru,na hutaki kuingia kwenye mvurugano wa mahusiano,kaa mwenyewe tu.Yawezekana MJOMBA wa CCM ndiye kapelekea yote hayo,ingawa yawezekana kuna long term causes zilizokuwepo.Nijuavyo mimi,watu wa vyamavyama vya siasa,wengi wao siyo waaminifu,huyo mjomba yawezekana ana mahusiano na huyo mama.
kwanini una chuki na makabila ya watu. Nani amekuambia yule Mmbulu? Ukiona mwanamke yeyote mzuri lazima awe Mmbulu? Acha kukashifu makabila ya watu, hakuna tabia ya kabila fulani. Lini Mkonyi akawa Mmbulu? Hujui hata majina ya koo za makabila mpaka leo? Acheni hizo.Mmbulu akishakuambia mjomba jua ni mchepuko wake huyo. Tatizo ni kwa huyo kijana kujifanya ana wivu na mapenzi sana Kwa mwanamke ambaye kwa mtazamo tu wa nje (Mungu anisamehe km sio kweli) anaonekana ni malaya. Pia ukisikiliza historia huyo jamaa alimkuta na watoto sasa alifikiri yeye ana akili kuliko hao waliomzalisha na kulala mbele?
Nimekumbuka huyu Jamaa aliyewahi kuua Bonge la Pisi Kali naye alikuwa na tatuu sababu tu ya wivu na kuacha katoto kadogo [emoji26]Ngoja akakutane na watetezi wa haki za wanawake ndio atajua hajui. Huwezi kuoa mwanamke km yule mwenye tatoo halafu ujifanye una wivu sana au unajua kupenda sn km ndg yetu Countrywide ! Lazima dunia ikufundishe in a harsh way.