Evolution of COVID team🏃.Mwanachama wa Chadema, Bananga arudi CCM
Mwanachama wa Chadema, Bananga arudi CCM
Sana...lilikuwa swala la muda tu.Huyu alikuwa arudi muda mrefu ni aibu tu ndio zilikuwa zinamzuia
Acha ajipendekeze aongeze pato la familiaAtafanyaje Sasa wkt mkewe Ni wale wabunge wa Covid 19 na jamaa hana kazi hapa mjini,Mama Ndio anasimamia shoo hapo nyumbani.
Tayari Mzigo Wa World Bank Unafanya KaziVipi,Ni zile Pesa za WB ndiyo zimeanza tena kuwachuuza hawa Mumiani?😁!