Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni malaya wa kisiasa, bwana fursaNjaa mbaya sana
Mkewe alitangulia yupo kwenye wale COVID -19?!Alirudi siku nyingi tu , lla labda leo kajitangaza hadharani
Ideology zipo CCM ni socialists/Left wing ila CHADEMA ni center-Right!!Tatizo la Vyama ambavyo havina ideological Differences bali ni Platform ya Kujipatia Uongozi...
Ingekuwa ukienda Chama A kutoka B kuna Utofauti wa Ideology; Mtu kamwe asingetoka huku na kwenda kule no matter Uongozi wala kutokuelewana..., Kwa mtindo huu motivation ya watu ni Kura na Kula;
Mwanachama wa Chadema, Bananga arudi CCM
Alikuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA 2015 hadi 2020...
Kwanini hamkutangaza kurudi kwake?Alirudi siku nyingi tu , lla labda leo kajitangaza hadharani
Kwanini nyie hamkumfukuza badala yake mliendelea kumkumbatia wakati mnajua ni mamluki?Tena alichelewa kurudi, huyo alisharudi toka enzi za Magufuli,ila alichelewa tu kutangazwa. Hakuna jipya hapo.
Kaona njaa imezidi ameamua kuunga juhudi ili ashibe.Mwanachama wa Chadema, Bananga arudi CCM
Alikuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA 2015 hadi 2020.
Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Ally Bananga leo Jumapili ametangaza kurejea tena CCM mbele ya Rais Samia Hassan “nawashukuruni vijana wenzangu wa CCM ambao niliwasubiri mje Chadema lakini hamkuja na leo nimerudi nyumbani.”
Nawaomba wana CCM wenzangu, mniruhusu niwe miongoni mwao ili tusaidiane na mama yetu katika kueleza mazuri yanayofanyika kuelezea mazuri yanayofanyika na mama nchi inatabasamu, inapumua- Ally Bananga, aliyekuwa Chadema sasa amerejea CCM
Pia, soma;
Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu
Diwani wa CHADEMA, Ally Bananga amwambia Godbless Lema aache ndoto na kumpangia marafiki!
Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA, Ally Bananga amejitokeza kwenye chombo cha habari na kudai Godbless Lema na kundi lake waache mambo ya kijinga ya kumpangia marafiki na kumtabiria kuwa anataka kuhamia CCM. ‘’Lema na kundi lake wanataka nisiwe na marafiki...www.jamiiforums.com