Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu alisharudi CCM kitambo sn sema ilibaki tu kutangazwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mke wake hajatambulishwa na yeye?Aliyekuwa diwanu na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Ally Bananga amerejea CCM leo jijini Arusha.
Bananga ameomba msamaha kwa Rais Samia na wanaccm wote kwa mambo yote ya hovyo aliyowafanyia akiwa Chadema.
Source: ITV
Upo sawa kabisa mkuu, moyo wake upo Chadema ila shibe yake ipo kwa mkewe kwa hiyo hana namna.Kamfuata mkewe.
Ni nani kati ya wale covid 19?Mke wa John Mrema naye yupo Covid-19, au huyo hagusiki ndani ya chama?
Kumfukuza kungewapa kiki nyie kwamba mko makiniAfukuzwe apate kick? Watu walimpotezea muda baada ya kugundua nyendo zake. Huoni kaondoka mwenyewe bila kupewa kick isiyo ya lazima?
Mimi kama ni kuikubali ccm ningeikubali muda sana, lakini hiyo sijawahi hata kuitamani. Niko hapa jukwaani miaka 10 sasa, tazama hata kama nimewahi kuitamani kwa bahati mbaya. Yaani hata Makada wa CCM akina Lowassa, Sumaye, na taka nyingine ngumu toka ccm zilivyokuja Cdm nilikwazika ile mbaya. Na sijawahi kumuunga mtu yoyote aliyetoka ccm zaidi ya Dr.Slaa. Hivyo kwangu kuondoka kwa Bananga ni furaha ya ajabu.
Na alafu hiyo ya chama chako kuchukua watu toka chama usichokipenda ndio kinafanya muendelee kubaki hapo mlipo na kuishi kwa stressAfukuzwe apate kick? Watu walimpotezea muda baada ya kugundua nyendo zake. Huoni kaondoka mwenyewe bila kupewa kick isiyo ya lazima?
Mimi kama ni kuikubali ccm ningeikubali muda sana, lakini hiyo sijawahi hata kuitamani. Niko hapa jukwaani miaka 10 sasa, tazama hata kama nimewahi kuitamani kwa bahati mbaya. Yaani hata Makada wa CCM akina Lowassa, Sumaye, na taka nyingine ngumu toka ccm zilivyokuja Cdm nilikwazika ile mbaya. Na sijawahi kumuunga mtu yoyote aliyetoka ccm zaidi ya Dr.Slaa. Hivyo kwangu kuondoka kwa Bananga ni furaha ya ajabu.
Jamani sitaki tena kumwamini mwanasiasa yeyote! Kila mtu aamue ki-vyake! Litakuwa linanyemelea uteyuzi! Liwaache akina johnthebaptist wanang'aa sharubu tu!
Kwani waliobaki wanafanya nini?Sasa ulitaka abakie chadema anafanya nn?
Kwani waliobaki wanafanya nini?
Wajuzi wa mambo. Huyu ndio juzi kati nimepata taarifa kuteuliwa kuwa Katibu Mwenezi CCM mkoa?Tatizo ni F4, atateuliwa kuwa na nani?
Kwa CCM mradi uwe unajua kusoma na kuandika na uwe chawa lazima utakula uteuziWajuzi wa mambo. Huyu ndio juzi kati nimepata taarifa kuteuliwa kuwa Katibu Mwenezi CCM mkoa?
Kweli siasa zinalipa.
Wale watu wamejengwa kwenye uzalendo na siyo njaa kama sisiHivi hizi siasa za kikahaba zipo bongo peke yake? maana kule majuu kusikia republican kahamia democrats au kinyume chake inaweza kutafsiriwa kama maajabu ya dunia. Yaani leo hii uwasikie Trump na Bush wamehamia democrats, au Clinton, Obama, Biden wamenunuliwa na republicans.....inavyoonekana wanasiasa kwenye nchi za mbele wanaamini sana katika itikadi za vyama vyao kinyume cha wanasiasa wa bongolala wanaoamini katika itikadi ya tumboni....