Arusha: Ally Bananga arudi CCM kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu

Arusha: Ally Bananga arudi CCM kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu

Kinachofurahisha Ni kwamba Bananga ametokea Chadema.
Kuna watu kina johnthebaptist, Mayala, Crimea na wengine wengi ambao tangu wakati wa mkapa walikua wakisifu na kuabudu lkn linapokuja suala la uteuzi wanafikiriwa kina Bananga kwanza.
Chadema Ni chuo.
Mawaziri Bora Hadi Sasa Ni wale waliofundwa Chadema.
Chadema ni CCM B!
 
Kichwani mweupe.. pua hana elimu udc hawezi pata ataidhia kuambulia bahasha za lumumba
Huyu kama sikosei alikuwa alikuwa katika timu ya kampeni ya Tundu Lissu!!Nimemsoma wakati fulani Instagram alikwa kama anawaaga wana Chadema.Naamini kama kawaida ya wahamiaji siku si nyingi atakula U DC.Kila la heri!!
 
Watu wenye akili timamu hawawezi kuwa misukule ya magaidi. Saccos inavuja kama pakacha la mchukuzi.
 
Nimewahi kumwambia Bananga kipindi kile akijifananisha na the late Alphonce Mawazo nilimwambia tui la nazi na maziwa kamwe hazifanani akaishia kunilima block
 
Ndani ya Chadema siyo rahisi kumpata mtu asiye na chembechembe za CCM labda hawa madogo wa juzi Tindo, Babati na Mmawia.

Chadema ni CCM B
Asiye na chembechembe za CCM ni Dr Silaa hata km alipewa ubalozi na mamlaka na CDM walimuudhi kwa Lowasa. Bado ana msimamo
 
Karibu nyumbani Bananga,wengine hamjachelewa karibuni CCM tuijenge nchi yetu sio kuzijenga familia zetu huku hata Makao makuu ya chama tu hayaeleweki
Unakaribisha kuendeleza ufisadi wa tozo
 
Kwanini nyie hamkumfukuza badala yake mliendelea kumkumbatia wakati mnajua ni mamluki?

Chadema mnaishi kwa stress sana. Hamia tu ccm mkuu huku raha tupu

[emoji23][emoji23][emoji23]
Raha zipi?
 
Back
Top Bottom