MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Alikuwa kachonga mbaya kabisa..Mwenye Ile picha ya Ally Bananga akiwa CCM please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa kachonga mbaya kabisa..Mwenye Ile picha ya Ally Bananga akiwa CCM please
mwingine anaehama chadema nani mseme mapema izi kauli ziwe chache sasaTena alichelewa kurudi, huyo alisharudi toka enzi za Magufuli,ila alichelewa tu kutangazwa. Hakuna jipya hapo.
Siku nikifa nitamwomba Malaika anifahamishe wafuatao wapo wapi:-
1. Hitler
2. Amini
3. Osama
4. Salmin
5. Omary
6 Job
7. John
8. Paul
9. Lengai
Evolution of man
Mno mnoNjaa mbaya sana
Tatizo la Vyama ambavyo havina ideological Differences bali ni Platform ya Kujipatia Uongozi...
Ingekuwa ukienda Chama A kutoka B kuna Utofauti wa Ideology; Mtu kamwe asingetoka huku na kwenda kule no matter Uongozi wala kutokuelewana..., Kwa mtindo huu motivation ya watu ni Kura na Kula;
Amemkimbia gaidiiiAlirudi siku nyingi tu , lla labda leo kajitangaza hadharani
Huyu kama sikosei alikuwa alikuwa katika timu ya kampeni ya Tundu Lissu!!Nimemsoma wakati fulani Instagram alikwa kama anawaaga wana Chadema.Naamini kama kawaida ya wahamiaji siku si nyingi atakula U DC.Kila la heri!!Mwanachama wa Chadema, Bananga arudi CCM
Alikuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA 2015 hadi 2020.
Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Ally Bananga leo Jumapili ametangaza kurejea tena CCM mbele ya Rais Samia Hassan “nawashukuruni vijana wenzangu wa CCM ambao niliwasubiri mje Chadema lakini hamkuja na leo nimerudi nyumbani.”
Nawaomba wana CCM wenzangu, mniruhusu niwe miongoni mwao ili tusaidiane na mama yetu katika kueleza mazuri yanayofanyika kuelezea mazuri yanayofanyika na mama nchi inatabasamu, inapumua- Ally Bananga, aliyekuwa Chadema sasa amerejea CCM
Pia, soma;
Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu
Diwani wa CHADEMA, Ally Bananga amwambia Godbless Lema aache ndoto na kumpangia marafiki!
Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA, Ally Bananga amejitokeza kwenye chombo cha habari na kudai Godbless Lema na kundi lake waache mambo ya kijinga ya kumpangia marafiki na kumtabiria kuwa anataka kuhamia CCM. ‘’Lema na kundi lake wanataka nisiwe na marafiki...www.jamiiforums.com
Alishakula vya watu eh?Huyu alikuwa arudi muda mrefu ni aibu tu ndio zilikuwa zinamzuia, kila akiropoka upuuzi wake watu wanamuangalia tu wanasema huyu hana maana, ametongozwa na kina Msando na yule jambazi aliehukumiwa jana siku nyingi na bia zao akanywa hakuwa na jinsi.
Kwanini nyie hamkumfukuza badala yake mliendelea kumkumbatia wakati mnajua ni mamluki?
Chadema mnaishi kwa stress sana. Hamia tu ccm mkuu huku raha tupu
[emoji23][emoji23][emoji23]