Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Aiseee[emoji848]Alirudi siku nyingi tu , lla labda leo kajitangaza hadharani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee[emoji848]Alirudi siku nyingi tu , lla labda leo kajitangaza hadharani
Imfikie sabaya huko jelaAliyekuwa diwanu na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Ally Bananga amerejea CCM leo jijini Arusha.
Bananga ameomba msamaha kwa Rais Samia na wanaccm wote kwa mambo yote ya hovyo aliyowafanyia akiwa Chadema.
Source: ITV
CCM B INGEPEWA KESI YA UGAIDI? CCM MAWAKALA WANGEZUILIWA NA POLISI SIKU YA UCHAGUZI KWAMBA WAMECHELEWA?Ndani ya Chadema siyo rahisi kumpata mtu asiye na chembechembe za CCM labda hawa madogo wa juzi Tindo, Babati na Mmawia.
Chadema ni CCM B
Aruhusu demokrasi ndio tuone Kama anaupiga, UTASEMAJE anaupiga wakati unaocheza nao UMEWAFUNGA miguu?Hangaya anaukandamiza mwingi sana...
View attachment 1977706
Gaidi atajutaWanapita mule mule tu
Wewe zamu yako liniAlirudi siku nyingi tu , lla labda leo kajitangaza hadharani
Wanasiasa kama wasemaji wa timu....Jamani sitaki tena kumwamini mwanasiasa yeyote! Kila mtu aamue ki-vyake! Litakuwa linanyemelea uteyuzi! Liwaache akina johnthebaptist wanang'aa sharubu tu!
Mama Samia ana vaa mabutiMama anaupiga mwingi (Huu msemo ulianzishwa na CDM, Lumumba wameuiba kwa sasa hahaha)
View attachment 1977500
Sina beiWewe zamu yako lini
Njaa mbaya sana
Sema hauna sokoSina bei
Hiyo kitu yake Sakina tumeivuruga sana.Atafanyaje Sasa wkt mkewe Ni wale wabunge wa Covid 19 na jamaa hana kazi hapa mjini,Mama Ndio anasimamia shoo hapo nyumbani.
😄😄 Taratibu mkuu.Hiyo kitu yake Sakina tumeivuruga sana.
CCM ni Wajamaa ?; CCM walikuwa Wajamaa, Ujamaa wao umebaki kwenye maandishi....Ideology zipo CCM ni socialists/Left wing ila CHADEMA ni center-Right!!
Tatizo ni kwamba wananchama ndio hawajiungi kwa kufuata ideology bali ushabiki tu.
Mfano CCM ni wajamaa ila 95% ya wanachama wanaamini katika ubepari. So unaweza ona ambavyo ideology sio kipaumbele
Bwege pekee aliwahi kukiri hajiungi ACT sababu ya ideology (Of course yye sio mjamaa) ila anahamia sababu ni chama kipya!!!
nazichadema mmebakia magarasha tuAlirudi siku nyingi tu , lla labda leo kajitangaza hadharani
Tatizo ni F4, atateuliwa kuwa na nani?Jamani sitaki tena kumwamini mwanasiasa yeyote! Kila mtu aamue ki-vyake! Litakuwa linanyemelea uteyuzi! Liwaache akina johnthebaptist wanang'aa sharubu tu!