Alikuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA 2015 hadi 2020.
Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Ally Bananga leo Jumapili ametangaza kurejea tena CCM mbele ya Rais Samia Hassan “nawashukuruni vijana wenzangu wa CCM ambao niliwasubiri mje Chadema lakini hamkuja na leo nimerudi nyumbani.”
Nawaomba wana CCM wenzangu, mniruhusu niwe miongoni mwao ili tusaidiane na mama yetu katika kueleza mazuri yanayofanyika kuelezea mazuri yanayofanyika na mama nchi inatabasamu, inapumua- Ally Bananga, aliyekuwa Chadema sasa amerejea CCM
Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA, Ally Bananga amejitokeza kwenye chombo cha habari na kudai Godbless Lema na kundi lake waache mambo ya kijinga ya kumpangia marafiki na kumtabiria kuwa anataka kuhamia CCM. ‘’Lema na kundi lake wanataka nisiwe na marafiki...
Ni kweli Shonga ni mbaya ukiindekeza. Na Muheshimiwa ameahidi kumtumia. Hata hivyo anao uhuru kwa kufuata atakayo mradi havunji sheria. Wafuasi mna la kujifunza.
Halafu kuna mtu kaanzisha uzi akiwashauri chadema wawasamehe covid19. Haya ndiyo majibu yake kuwa wale covid19 (akiwepo mke wa bananga) wakokwa kivuli cha ccm
Alikuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA 2015 hadi 2020.
Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Ally Bananga leo Jumapili ametangaza kurejea tena CCM mbele ya Rais Samia Hassan “nawashukuruni vijana wenzangu wa CCM ambao niliwasubiri mje Chadema lakini hamkuja na leo nimerudi nyumbani.”
Nawaomba wana CCM wenzangu, mniruhusu niwe miongoni mwao ili tusaidiane na mama yetu katika kueleza mazuri yanayofanyika kuelezea mazuri yanayofanyika na mama nchi inatabasamu, inapumua- Ally Bananga, aliyekuwa Chadema sasa amerejea CCM
Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA, Ally Bananga amejitokeza kwenye chombo cha habari na kudai Godbless Lema na kundi lake waache mambo ya kijinga ya kumpangia marafiki na kumtabiria kuwa anataka kuhamia CCM. ‘’Lema na kundi lake wanataka nisiwe na marafiki...
Hana tofauti na kigogo wamepishana na daftari la manunuzi.
Kuunga juhudi kulilipa zama za jiwe,
Angalau mange alichangamkia fursa ya kula hela za jiwe.
Amzidi Tambwe akaishia.
2025 upinzani watachukua majimbo mengi sana sababu aliyetaka kuuwa upinzani alishakufa ccm haina jasiri mwenye roho ngumu tena kama ya jiwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.