Arusha: Ally Bananga arudi CCM kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu

Arusha: Ally Bananga arudi CCM kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu

Kwanini nyie hamkumfukuza badala yake mliendelea kumkumbatia wakati mnajua ni mamluki?

Chadema mnaishi kwa stress sana. Hamia tu ccm mkuu huku raha tupu

[emoji23][emoji23][emoji23]
Polepole anakuangalia na kukusonya tu, Bashiru ndio anakushangaa kabisa, Kalemani anapigwa bumbuwazi.
 
Poleni Chadema mmepoteza mlipia kadi ya uanachama.
 
Mwanachama wa Chadema, Bananga arudi CCM

Alikuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA 2015 hadi 2020.

Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Ally Bananga leo Jumapili ametangaza kurejea tena CCM mbele ya Rais Samia Hassan “nawashukuruni vijana wenzangu wa CCM ambao niliwasubiri mje Chadema lakini hamkuja na leo nimerudi nyumbani.”

Nawaomba wana CCM wenzangu, mniruhusu niwe miongoni mwao ili tusaidiane na mama yetu katika kueleza mazuri yanayofanyika kuelezea mazuri yanayofanyika na mama nchi inatabasamu, inapumua- Ally Bananga, aliyekuwa Chadema sasa amerejea CCM

Pia, soma;
Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu

Kamfuata mkewe.
 
Jamani sitaki tena kumwamini mwanasiasa yeyote! Kila mtu aamue ki-vyake! Litakuwa linanyemelea uteyuzi! Liwaache akina johnthebaptist wanang'aa sharubu tu!
Ni kweli Shonga ni mbaya ukiindekeza. Na Muheshimiwa ameahidi kumtumia. Hata hivyo anao uhuru kwa kufuata atakayo mradi havunji sheria. Wafuasi mna la kujifunza.
 
Jamani sitaki tena kumwamini mwanasiasa yeyote! Kila mtu aamue ki-vyake! Litakuwa linanyemelea uteyuzi! Liwaache akina johnthebaptist wanang'aa sharubu tu!
Inamaana umemuona bwashee pekee kua ndo ang'aa sharubu 🤣🤣🤣🤣
 
Halafu kuna mtu kaanzisha uzi akiwashauri chadema wawasamehe covid19. Haya ndiyo majibu yake kuwa wale covid19 (akiwepo mke wa bananga) wakokwa kivuli cha ccm
Mke wa John Mrema pia ni Covid-19, una lipi la kusema katika hilo?
 
Mwanachama wa Chadema, Bananga arudi CCM

Alikuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA 2015 hadi 2020.

Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Ally Bananga leo Jumapili ametangaza kurejea tena CCM mbele ya Rais Samia Hassan “nawashukuruni vijana wenzangu wa CCM ambao niliwasubiri mje Chadema lakini hamkuja na leo nimerudi nyumbani.”

Nawaomba wana CCM wenzangu, mniruhusu niwe miongoni mwao ili tusaidiane na mama yetu katika kueleza mazuri yanayofanyika kuelezea mazuri yanayofanyika na mama nchi inatabasamu, inapumua- Ally Bananga, aliyekuwa Chadema sasa amerejea CCM

Pia, soma;
Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu

Sema afuata mke ccm
 
Usimuwekee dhamana mwanasiasa 😂😂😂

Kawaida hiyoo

Ova
 
CHADEMA ilishakosa dira haina hoja wala malengo. Safi Sana Kwa mziki wa Mama mpaka Mbowe atarudi tuuu
 
Hana tofauti na kigogo wamepishana na daftari la manunuzi.
Kuunga juhudi kulilipa zama za jiwe,
Angalau mange alichangamkia fursa ya kula hela za jiwe.
 
Jamaa Fundi sana jukwaani ana jua sana kucheza na ulimi
Amzidi Tambwe akaishia.
2025 upinzani watachukua majimbo mengi sana sababu aliyetaka kuuwa upinzani alishakufa ccm haina jasiri mwenye roho ngumu tena kama ya jiwe.
 
Back
Top Bottom