Arusha: Ashikiliwa na Polisi kwa kumuua kaka yake kwa kumzuia kumwingilia shemeji yake kimwili

Aisee..
 
Mke anapokuwa wa jumuia kwa baadhi ya mila za kimasai
 
Jamani watu mpunguze kuuana mbona korona inatosha
 
Huyu Masai nyege zimempanda mpaka kapandisha mori nakumuua kaka ake kweli nyege mbaya ngoja naye akapakatwe wanyampala
 
jamaa ni nouma, yaani alitaka kuula mzigo wa kaka yake aliye hai - hii kitu ni taam aiseee... inaweza kugombanisha ndugu wa damu adi mauti.
Inawwzekana alitaka kufanya marudio alisha ionja ya shemeji kabla ya hapo.
 
Ndio mana hawa Jamaa ukienda Hifadhini nao huwa ni sehemu ya Utalii. Ni ngumu sana kutofautisha Mnyama na Wazee wa Shuka Chupi Tako...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…