Arusha: Ashikiliwa na Polisi kwa kumuua kaka yake kwa kumzuia kumwingilia shemeji yake kimwili

Arusha: Ashikiliwa na Polisi kwa kumuua kaka yake kwa kumzuia kumwingilia shemeji yake kimwili

Wamasai wana hio mila ya kula K kwa kusimika mkuki nje ya nyumba tu ya mwanamke! Mume akikuta mkuki anapitiliza hatakiwi kuleta shida sa inaonekana jamaa alitaka ale mzigo akawahiwa😅😅😅
Hiyo ni mila au upumvavu kabisa.
 
Hawa wenzetu si huwa wanachomeka mkuki nje sasa imekuwaje tena au mila zimekufa siku hizi.
 
Nyege sasa zimefikia hatua mbaya sana. Zinavuka mipaka[emoji51][emoji51][emoji51]
Nyege za msimu huu sio powa, kuna mwamba kala mke wa mtu nyumbani kwa huyo mwanamke huko Geita[emoji28] ,alifumwa na mtoto wa huyo mwanamke ikatokea ugomvi
 
Nyege za msimu huu sio powa, kuna mwamba kala mke wa mtu nyumbani kwa huyo mwanamke huko Geita[emoji28] ,alifumwa na mtoto wa huyo mwanamke ikatokea ugomvi
Msimu wa kilimo ufike pesa zipotee watu wawe busy mashambani huu msimu wa mavuno watu wanavuna vyotevyoteee.
 
Alipandisha mori.

Mila hizo za kimasai, elimu inapaswa itolewe kupinga mila potofu.

Mti ukikuta mkuki nje ya mlango basi usiingie mkeo kapata mtu. Mila hizo kwa sasa hazifai.badilikeni ndugu zangu masai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom