ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

Polisi ni tatizo kubwa ktk nchi hii yaani ni zaidi ya mashetani.Walio wasafi ni wachache mno.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe yuko vzur,ndo maana hata hela za kustafu hajawah zigusa.
Lakini mbona mafao yake ni kiduchu hvyo,mil 75 tu
 
Kila mtu angekuwa anakomaa hivi, rushwa ingepungua.

Tatizo wanapata kichwa kwa kuwa kuna watu wengi wanalipa.

Polisi wamekuwa majambazi.
 
Kila mtu angekuwa anakomaa hivi, rushwa ingepungua.

Tatizo wanapata kichwa kwa kuwa kuna watu wengi wanalipa.

Polisi wamekuwa majambazi.
Huyu mzee alikuwa mkimya ila alijua ataisolve vp issue hii
Hawa wazee wanakuwaga na connection kubwa kujuana na watu,hao polisi waliingia sehemu siyo tamaa zao tu zimewaponza

Ova
 
Yaani iko hivi,yule anayetegemea kutafuta haki akiuka haki hukumu yake iwe juu zaidi ili kuwa fundisho.maana yake hao ndiyo wanabidi wastakiwe kwa uhujumu uchumi,walipata wapi hizi pembe?
 
Umenena mtu kafundisha udsm miaka yote lazma kuna watu wazito wamepita mikononi mwake
Kuna wazee wana connection sana lakini hawapendi kuwasumbua watu ni kama wana nidhamu fulani
Ila siku wakiona usumbufu unakuwa mwingi
Wakipiga sim moja basi issue yake iko solved
Naona hao polisi walimchukulia poa tu huyo mzee

Ova
 
Dahhhh watu hawana haya big fish wa arumeru anafanyiwaje vitu kama hivi fahamu tu no one is safe aisee
Fikiria mbugila mbugila kama sisi tunaozea jela! Maana don hawajamuogopa.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Huyu mzee alikuwa mkimya ila alijua ataisolve vp issue hii
Hawa wazee wanakuwaga na connection kubwa kujuana na watu,hao polisi waliingia sehemu siyo tamaa zao tu zimewaponza

Ova
Polisi anaenda kumuingia mzee, halafu hajui mzee kasoma na RPC.

Polisi wanambambikia mzee kesi famba, mzee anavuta waya kwa RPC anamblast inakuwaje vijana wako wanafanya mambo ya aibu?

Watajuta.
 
Polisi anaenda kumuingia mzee, halafu hajui mzee kasoma na RPC.

Polisi wanambambikia mzee kesi famba, mzee anavuta waya kwa RPC anamblast inakuwaje vijana wako wanafanya mambo ya aibu?

Watajuta.
Wanakurupukaga sana hawa
Hata aliyowapa mchoro labda
Hawakuwasomesha vizuri polisi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…