Major-2-Battalion
Member
- May 16, 2023
- 41
- 55
Usiseme hivyo mzee,wanaume wanapitia changamoto nyingi sana,inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu aisee,mwanamke anaweza kukufanya mateka ndani ya nyumba yako,ukiona mtu anampiga mtu kufikia Hali kama hiyo ujue yamemfika.binafsi navyoandika hapa napitia changamoto kubwa sana,kubwa sana,najaribu kufikiria kushirikisha polisi lakini naona Bado sio sawa.msimlaumu huyo jamaa,wanawake ni viumbe katili sana na wenye huruma sana pia ila usiombee ukutane na upnde wa pili wa mwanamke.Kama umebahatika kukutana na mwanamke na akawa mwema kwako muda wote mshukuru mungu.kuna watu wanafikia hatua ya kuua na kujiua Kwa sababu ya haw viumbe.Mungu atuepushe na haya mabalaa.
Ninaandika haya,mwanamke wangu Mimi kachoma vielelezo vyote vya kazi ambayo inaleta mkate nyumbani.(including vyeti)Na Bado kapora simu ya kazini takribani siku ya kumi sasa. Na hataki kwenda kwao.nimeshatumia kila mbinu amegoma ,na Bado fujo anafanya.Narudia Tena msiumlaumu huyo jamaa.