Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

Huyo Jamaa kumbe ni Kada wa Chama na kwa style aliyotumia ya kong'oa meno kwa Plaizi na kutoboa macho kwa bisibisi ni wazi ni mmoja wa kikosi kazi enzi za "MAKENZI" maana ana uzoefu wa matukio hayo.
 
Hivi mpaka unang'olewa jino kwa prize hupo tu umeachama au alikuwa amelewa chakali? Siamini.
 
Hivi mpaka unang'olewa jino kwa prize hupo tu umeachama au alikuwa amelewa chakali? Siamini.
Inafikirisha sana Ila kuna maelezo hayajajitosheleza kuna kitu bado kimejificha jamaa anaweza akawa na maelezo mengine yatakayo waacha watu midomo wazi ngoja akamatwe aje kusema ukweli
 
Niliambiwa kuna maeneo pembezoni mwa Nchi huko hakuna polisi anaeweza kukanyaga kwanza hakuna vituo vya polisi ni wavuvi tu ndio wamejaa huko
moja wapo kusini, nilishawahi muona jamaa alifanya soo miaka ya nyuma Kinondoni
nikamkuta Nyangao ndani ndani huko Mahiwa, jamaa midevu kibao
 
Inafikirisha sana Ila kuna maelezo hayajajitosheleza kuna kitu bado kimejificha jamaa anaweza akawa na maelezo mengine yatakayo waacha watu midomo wazi ngoja akamatwe aje kusema ukweli
Ni kweli kuna kitu, meno yatakuwa yalitoka kwa kipigo na sio prize, jicho alitwangwa ngumi au kitu kizito lkn sio kutoboa.
 
Back
Top Bottom