Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

Usiseme hivyo mzee,wanaume wanapitia changamoto nyingi sana,inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu aisee,mwanamke anaweza kukufanya mateka ndani ya nyumba yako,ukiona mtu anampiga mtu kufikia Hali kama hiyo ujue yamemfika.binafsi navyoandika hapa napitia changamoto kubwa sana,kubwa sana,najaribu kufikiria kushirikisha polisi lakini naona Bado sio sawa.msimlaumu huyo jamaa,wanawake ni viumbe katili sana na wenye huruma sana pia ila usiombee ukutane na upnde wa pili wa mwanamke.Kama umebahatika kukutana na mwanamke na akawa mwema kwako muda wote mshukuru mungu.kuna watu wanafikia hatua ya kuua na kujiua Kwa sababu ya haw viumbe.Mungu atuepushe na haya mabalaa.

Ninaandika haya,mwanamke wangu Mimi kachoma vielelezo vyote vya kazi ambayo inaleta mkate nyumbani.(including vyeti)Na Bado kapora simu ya kazini takribani siku ya kumi sasa. Na hataki kwenda kwao.nimeshatumia kila mbinu amegoma ,na Bado fujo anafanya.Narudia Tena msiumlaumu huyo jamaa.
 
Mkasa wako ni nyeti mkuu, ufungulie uzi tuchangie maushauri.
 
Funguka kila kitu upewe mbinu za kijeshi na mipolisi
 
Huyo mbwa bado hajawekwa nyuma ya nondo,Wanawake wenzangu ukiona Mpenzi wako anakupiga kofi jua iko siku atakuja kukuvunja meno endeleeni kuvumilia 😬
Kwakweli unaweza vunjwa Taya huko mbele
 
Fungua Uzi. Pia hama kwako umwachie
 
Kama yeye haondoki wew ondoka maisha yanaanza tu kheri ugali dagaa kwenye amani kuliko pilau kuku kwenye vita
 
Halafu bado unaendelea kuishi nae,kama amekua kupe amegoma kuondoka mwachie nyumba
 
Baki njia kuu, epuka kula vya watu kisha kuleta ujinga ujinga... hakuna vya bure... mwanamke ni mali ya mmoja

NB; KATAA NDOA
Ankal, hivi umrkiona nilichoona mimi?, mbona kama huyu muhanga alikuwa mpango wa pembeni?, hii inakupa picha gani? isijekuwa Na. 1 kajiongeza ili sinema imalizike vibaya kwa pande zote maana na nyie wa-rombo hamsomeki kabisa
 
Katumia hasira, kakutana na mkono wa serikali, kwa hiyo hasira ilitosha tu waachane, let's say anamcheat, ndo ufanye ujinga ukurudie mwenyewe?, maana jela huyu haikwepi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…