Arusha City in photos and its wildlife

Hayo maghorofa uliyoyaweka hapo ni ya wahindi...mwarusha wa kawaida anakaa maeneo ya ovyo ovyo kama majengo.kwa moromboo.matejoo.unga ltd.lemala...barabara hakuna huko...vijinjia vidogo vidogo wanavyonunua kwa wazee wakiarusha
 
Wildlife at Ngorongoro National Park

Black Rhinos

Zebra and Flamingos drinking water in the crater

The Ngorongoro Crater
 
Hayo maghorofa uliyoyaweka hapo ni ya wahindi...mwarusha wa kawaida anakaa maeneo ya ovyo ovyo kama majengo.kwa moromboo.matejoo.unga ltd.lemala...barabara hakuna huko...vijinjia vidogo vidogo wanavyonunua kwa wazee wakiarusha
Aaaaah "lemala" check ulivyo mshambaa Kaa kwa kutulia na miji YA watu
 
Acha roho mbaya na wivu wewe.
 
Aaaaah "lemala" check ulivyo mshambaa Kaa kwa kutulia na miji YA watu
Hamna kitu Arusha...75% ya mji huu haujapimwa viwanja...watu wanakaa kwenye slums...mitaa michache sana ya maana labda njiro tu
 
Wildlife at Arusha National Park

Olive Baboon mother and her baby

The Waterbuck

Cinnamon chested bee eater bird

The view of Mount Meru at Arusha National Park

The view of Mount Meru Crater from Top

Giraffe at Arusha National Park

The Colobus monkeys
 
Attachments

  • 12195_medium.jpg
    97.1 KB · Views: 270
Pazuri sana aisee.

Hivi zile project za kujenga satelite cities zishaanza?? Au miradi livurugwa na wajanja??
 
Arusha eneo kubwa lina tindiga...nyumba unajenga haimalizi miaka 5 inapasuka mbaya
Ndiyo maana unaambiwa usivamie miji ya watu.

Huku tukitaka kujenga tunahamisha udongo then tunaleta udongo mpya unaofaa kwa kujengwa nyumba juu yake.

Huku siyo kule pwani mchangani udongo wa msingi wa nyumba ndiyo mchanga wa kujengea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…