Ranks
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,583
- 1,097
Hayo maghorofa uliyoyaweka hapo ni ya wahindi...mwarusha wa kawaida anakaa maeneo ya ovyo ovyo kama majengo.kwa moromboo.matejoo.unga ltd.lemala...barabara hakuna huko...vijinjia vidogo vidogo wanavyonunua kwa wazee wakiarusha
Ndiyo maana Ccm imekita,imezama.......
Yaani wamekikataa chama kile na mambo yake yote na hatimaye chama kile kimebaki na ghadhabu na ubabe.