Arusha City in photos and its wildlife

Arusha City in photos and its wildlife

Hayo maghorofa uliyoyaweka hapo ni ya wahindi...mwarusha wa kawaida anakaa maeneo ya ovyo ovyo kama majengo.kwa moromboo.matejoo.unga ltd.lemala...barabara hakuna huko...vijinjia vidogo vidogo wanavyonunua kwa wazee wakiarusha
Acha uongo. Hayo maghorofa wanamiliki wenyeji wa Arusha tena weusi. Acha kujifanya unaijua Arusha kuliko sisi
 
Arachuga moja...
Kwa wanaojielewa huko...
Ndo mkoa unaoongoza kwa watu wanaoadmit wanatokea huko wengi na kuwa proud of it, na mara nyingi wakiwa proud nawanapotokea wa mikoa minghine wanaona kama wachuga wana masifa badala na wao kuwa proud na kwao..
 
Mount (Mlima) Ol Doinyo Lengai
Ol Doinyo Lengai (Maana yake "mlima wa Mungu" kwa kimasai) ni mlima wa volkeno upo mkoa wa Arusha kaskazini mwa Tanzania.

Mlima huo una kimo cha 2690 m juu ya usawa wa bahari. Mlima huo una volkeno ya kipekee duniani kutokana na aina ya lava yake inayotoka kuwa ya majimaji ambayo si ya moto sana (500c - 600c).

Ol Doinyo Lengai ililipuka tena Machi 2006. Katika mwaka 2007 mlima umesababisha mitetemeko ya ardhi ya mara kwa mara kuanzia 12 Julai. Tetemeko la 18 Julai lilisikika hadi Nairobi.

Oldoinyolengai.jpg


800px-Lengai_from_Natron.jpg
 
Lake (Ziwa) Natron
Ziwa Natron ni ziwa la chumvi na magadi lililopo mkoa wa Arusha kaskazini mwa Tanzania, karibu na mpaka wa Kenya, katika tawi la Afrika mashariki la Bonde la Ufa. Ziwa hili hulishwa na mto Ewaso Ng'iro na pia mito chemichemi zilizo tajiri kwa madini ambazo ni kina kabisa. Ziwa hili lina ukina wa chini ya mita tatu (fiti 10), na upana wake hutofautiana kwani hutegemea kiwango chake cha maji. Tofauti ya viwango vya maji kutokana na mabadiliko ya viwango vya uvukizi, ambavyo huacha viwango juu vya chumvi na madini mengine. Sehemu hii imezungukwa na eneo kavu na viwango vya mvua huyumbayumba. Kiwango cha joto katika ziwa hili wakati mwingine kufikia digrii 50 (celcius) au digrii 120 (Fahrenheit), na kutegemea mvua na alkalinity yaweza kufikia pH ya 9-10.5 (karibu kama vile alkali ya amonia).

800px-NatronSouthSide.jpg


Alamy_A68XKY.jpg
 
Uzuri upo wapi hata kwa hayo majengo. Hayana mvuto wowote

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Arusha bado sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom