Bila shaka umehadithiwa.Wahindi wengi wao Arusha wanaishi kwenye ghorofa za msajili. Maghorofa mengi Arusha ni ya wazawa.Fanya study tour Arusha upate ukweli.Hayo maghorofa uliyoyaweka hapo ni ya wahindi...mwarusha wa kawaida anakaa maeneo ya ovyo ovyo kama majengo.kwa moromboo.matejoo.unga ltd.lemala...barabara hakuna huko...vijinjia vidogo vidogo wanavyonunua kwa wazee wakiarusha