Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Uasfir wa hizo daladala za Arusha nao ni hovyoo,waache Bajaj zifanye kazi,ni Bora upande Bajaj unakuwa comfortable kuliko hivyo vipanya vyao na waache kudeka.Bajaj wanalipa Kodi na hivyo vipanya navyo vinalipa Kodi biashara HURIA.