P Pesanyingi JF-Expert Member Joined Apr 15, 2023 Posts 1,157 Reaction score 1,983 Aug 15, 2023 #41 Uasfir wa hizo daladala za Arusha nao ni hovyoo,waache Bajaj zifanye kazi,ni Bora upande Bajaj unakuwa comfortable kuliko hivyo vipanya vyao na waache kudeka.Bajaj wanalipa Kodi na hivyo vipanya navyo vinalipa Kodi biashara HURIA.
Uasfir wa hizo daladala za Arusha nao ni hovyoo,waache Bajaj zifanye kazi,ni Bora upande Bajaj unakuwa comfortable kuliko hivyo vipanya vyao na waache kudeka.Bajaj wanalipa Kodi na hivyo vipanya navyo vinalipa Kodi biashara HURIA.