Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dereva akajionea mapema isiwe tabu sema Ile anataka kuchoropoka maji hayooNimeona mtu mmoja yupo vizuri kwenye kucheza na Maji...
Hatari sana hapo mwendo wakunywa vikombe mingimingi😂😂😂Dereva akajionea mapema isiwe tabu sema Ile anataka kuchoropoka maji hayoo
Nadhani mleta mada alitaka kutuchangamsha Kwa video za zamani maana naona kuna wajeba wameidetect hiyo ni ya zamani.Hatari sana hapo mwendo wakunywa vikombe mingimingi😂😂😂
Inawezekana video ya kitambo lkn juzi familia imepotea kwa mtindo huo walikua na gari aina ya Noah..Uliskia hii!?Nadhani mleta mada alitaka kutuchangamsha Kwa video za zamani maana naona kuna wajeba wameidetect hiyo ni ya zamani.
Ninayo pia mimi kwenye gphotos app, imehifadhiwa toka 2017 nadhani kama sio 2018.Hii video mbona ya siku nyingi?
Tuache na tecno zetuNinayo pia mimi kwenye gphotos app, imehifadhiwa toka 2017 nadhani kama sio 2018.
Mleta mada kanunua tecno juzi
Unadanganywa, video ya kitambo sana na sio ArushaDuuh pole Kwa waathirika.
Mungu tuepushe na maafa waja wako.
Sasa mkuu tecno zetu zimekukosea nini lakini?Ninayo pia mimi kwenye gphotos app, imehifadhiwa toka 2017 nadhani kama sio 2018.
Mleta mada kanunua tecno juzi
Ile Iphone 11 niliyokununulia umeuza d?Sasa mkuu tecno zetu zimekukosea nini lakini?