Arusha flood nadhani imewachukua watu wengine leo. Video

Arusha flood nadhani imewachukua watu wengine leo. Video

Noah iliwabeba wanafamilia watano kati yao kulikua na mwanafunzi wa shule ya iliboru iliyopo moshi...Hajatoka mtu unaambiwa wote ni marehemu kwa sasa😢😢😢
Hadi wale walionusurika wamekwenda!!!😳😳😳
 
Back
Top Bottom