Arusha flood nadhani imewachukua watu wengine leo. Video

Hatari sana hapo mwendo wakunywa vikombe mingimingi😂😂😂
Nadhani mleta mada alitaka kutuchangamsha Kwa video za zamani maana naona kuna wajeba wameidetect hiyo ni ya zamani.
 
Nadhani mleta mada alitaka kutuchangamsha Kwa video za zamani maana naona kuna wajeba wameidetect hiyo ni ya zamani.
Inawezekana video ya kitambo lkn juzi familia imepotea kwa mtindo huo walikua na gari aina ya Noah..Uliskia hii!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…