Hii haijasikikaInawezekana video ya kitambo lkn juzi familia imepotea kwa mtindo huo walikua na gari aina ya Noah..Uliskia hii!?
Noah iliwabeba wanafamilia watano kati yao kulikua na mwanafunzi wa shule ya iliboru iliyopo moshi...Hajatoka mtu unaambiwa wote ni marehemu kwa sasaπ’π’π’Hii haijasikika
Sad newsNoah iliwabeba wanafamilia watano kati yao kulikua na mwanafunzi wa shule ya iliboru iliyopo moshi...Hajatoka mtu unaambiwa wote ni marehemu kwa sasaπ’π’π’
ap hiyo nilijisikia mkuuInawezekana video ya kitambo lkn juzi familia imepotea kwa mtindo huo walikua na gari aina ya Noah..Uliskia hii!?
πππππIle Iphone 11 niliyokununulia umeuza d?
Nimedect Hilo pia mkuuUnadanganywa, video ya kitambo sana na sio Arusha
Hadi wale walionusurika wamekwenda!!!π³π³π³Noah iliwabeba wanafamilia watano kati yao kulikua na mwanafunzi wa shule ya iliboru iliyopo moshi...Hajatoka mtu unaambiwa wote ni marehemu kwa sasaπ’π’π’
Ai unajuaga kesi aiogopi wakili wangu yupo?πππππ
Kwanza una kesi then unaongeza nyingineππππ
Mbona tuliambiwa wanneNoah iliwabeba wanafamilia watano kati yao kulikua na mwanafunzi wa shule ya iliboru iliyopo moshi...Hajatoka mtu unaambiwa wote ni marehemu kwa sasaπ’π’π’