Nisicho kubaliana nacho katika maoni yako ni huko "wananchi kupuuza chaguzi". Hilo CCM haliwastui, tena wanalipenda sana hilo; kwa sababu wataendelea kuwa madarakani bila ya usumbufu wowoteBargaining chip waliyonayo CHADEMA ni uwezo wa kuwafanya wananchi wapuuze hizi chaguzi feki. Hili linaweza kufanyika kwa consistently kuwaambia wananchi kuwa kushiriki chafuzi hizi ni kupoteza muda, pesa.
Wananchi watawaelewa sana na in exchange CHADEMA consistenly iwe na message moja tu kwa umma, kuwa bila katiba mpya nzuri, wananchi kamwe msitegemee chaguzi za maana.
Umma wa kutosha utaside na CHADEMA na hilo litaweka pressure kwa CCM kufanya reforms.
'Consistency'?. Ya hadi lini?
Wakati ni sasa, ushahidi upo wazi kwa kila mtu. Kazi pekee inayo wasubiri CHADEMA ni kuwaunganisha wananchi na ku'co-ordinate' juhudi za wananchi kukataa kuwepo kwa uchaguzi mwakani katika mazingira haya haya; au kukubali kuendelea na uchaguzi huo wakiwa tayari kukabiliana na lolote watakalo taka CCM.
Kazi ekee iliyopo kwa CHADEMA ni kufanya kazi na wananchi tokea sasa.