Mimi gentleman?🤣Kafungue kesi mahakamani,kama ushaidi unao.
Masikini wengi wanaamini Matajiri ni weziNabii gani ni mwizi wa magari?
Sina hakika kama ni takukuru kweli hayo ni maigizo ya lema kama kawaida yake ameshawahi kuzika mbwa!Lema amefanya jambo la maana sana kutimua hao wahuni. Taasisi nyingi za nchi hii zimeshidwa kutekeleza wajibu wake kwa sababu ya kutumia lugha za kilegevu. Hiyo ndio namna sahihi ya kudeal na hao wahuni wasiotambua wajibu wao.
Lema ni mwizi anaharibu sana vitasa na switch za magariMasikini wengi wanaamini Matajiri ni wezi
Hakuna anayetaka ww uamini, tunachojua kawafukuza fullstop.Sina hakika kama ni takukuru kweli hayo ni maigizo ya lema kama kawaida yake ameshawahi kuzika mbwa!
Haichekeshi.Lema ni mwizi anaharibu sana vitasa na switch za magari
Wizi tangu lini ukachekesha?Haichekeshi.
Narudia tena, ule utopolo ulioongea pale juu hauchekeshi.Wizi tangu lini ukachekesha?
Endelea kushangaaSina hakika kama ni takukuru kweli hayo ni maigizo ya lema kama kawaida yake ameshawahi kuzika mbwa!
Sishangai ila imani kwa wananchi imepotea!Endelea kushangaa
Una akili za hovyo sana Mkuu, hata ukiandika kejeli na kashifa zako kumhusu Lema huwezi kubadilisha alichowafanyia hao TAKUKURULema ni mwizi anaharibu sana vitasa na switch za magari
Narudia tena Wizi tangu lini ukachekesha?Narudia tena, ule utopolo ulioongea pale juu hauchekeshi.
We lema si umemjulia mitandaoni sisi tunamjua tangu enzi anafuga rasta ni mwizi wa magariUna akili za hovyo sana Mkuu, hata ukiandika kejeli na kashifa zako kumhusu Lema huwezi kubadilisha alichowafanyia hao TAKUKURU
Unatia aibu ukiwa wapi?We lema si umemjulia mitandaoni sisi tunamjua tangu enzi anafuga rasta ni mwizi wa magari
Kuwazuia watumishi wa Serikali kutimiza majukumu yao ya kisheriaKwa kosa gani?