Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Mimi gentleman?🤣Kafungue kesi mahakamani,kama ushaidi unao.
Kwanza relax
japo nimeuliza sio kwa ubaya lakini ndrugu zangu, kwasasabu, mara nyingi sana nakuja na manabii tofauti tofauti kwake kumuombea na kukutana nae, na kila akitubu dhambi anatubu hiyo hiyo ya unyang'anyi 🤣
sasa najiuliza nabii bado ni jambazi na mnyanganyi kwa style nyingine?🤣