LGE2024 Arusha: Godbless Lema awatimua Maofisa wa TAKUKURU kwenye semina ya Wagombea wa CHADEMA, adai Wameacha uozo ufanywe kwenye Uandikishaji

LGE2024 Arusha: Godbless Lema awatimua Maofisa wa TAKUKURU kwenye semina ya Wagombea wa CHADEMA, adai Wameacha uozo ufanywe kwenye Uandikishaji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kafungue kesi mahakamani,kama ushaidi unao.
Mimi gentleman?🤣
Kwanza relax


japo nimeuliza sio kwa ubaya lakini ndrugu zangu, kwasasabu, mara nyingi sana nakuja na manabii tofauti tofauti kwake kumuombea na kukutana nae, na kila akitubu dhambi anatubu hiyo hiyo ya unyang'anyi 🤣

sasa najiuliza nabii bado ni jambazi na mnyanganyi kwa style nyingine?🤣
 
Lema amefanya jambo la maana sana kutimua hao wahuni. Taasisi nyingi za nchi hii zimeshidwa kutekeleza wajibu wake kwa sababu ya kutumia lugha za kilegevu. Hiyo ndio namna sahihi ya kudeal na hao wahuni wasiotambua wajibu wao.
Sina hakika kama ni takukuru kweli hayo ni maigizo ya lema kama kawaida yake ameshawahi kuzika mbwa!
 
Una akili za hovyo sana Mkuu, hata ukiandika kejeli na kashifa zako kumhusu Lema huwezi kubadilisha alichowafanyia hao TAKUKURU
We lema si umemjulia mitandaoni sisi tunamjua tangu enzi anafuga rasta ni mwizi wa magari
 
Takukuru wanahusika vipi na uandikishaji daftari? Kuwatuhumu takukuru kutodhibiti uhuni kwenye daftari ni kubwakia mti usio sahihi. Kuelekea kampeni hapo ndipo vitendo vya rushwa vipo, uwepo wa takukuru ulikuwa sahihi kwenye semina. Sasa kawanyima fursa ya kuelimika watu wake wanaoihitaji sana elimu ya rushwa.
 
Lema angefaa awe huko DRC akipigana kwasababu anapenda sana shari. Busara hana
 
Back
Top Bottom