Arusha hivi "vifodi" ni kuchafua jiji achaneni navyo

Ninachopendea jiji la Dar ni availability ya usafiri at any time.

Mwaka jana nilifika arusha saa 8 usiku. Kuanzia tengeru mpaka nafika mianzini sijapishana na gari hata 1.

Yani mji mzimq umelala.
Shida kubwa, ni hawa masoro wa hapa ukikutana nao kwenye kumi na nane hutoki salama jombaaa, hata maji huombi.
Kitu kingine baridi la hapa ndio linafukuza watu kuingia ndani mapema au kwenda kunywa kwenye grocery za jirani na nyumbani
 
Wanaomiliki vigar hivyo Ni wachaga asilimia kubwaa ndio maanaviko mosh na Arusha alfu zile za coster na rozaa zile hubeba inafanya rout kutoka Arusha Moshi maajabu snaaa unajikunyaa mbaya mbovu
 
Yaani wewe kukaa Chuga miaka 3 ndio ubishane na mzawa?Haina paringi arifu.

Aisee chalaa angu hebu kula ngusu Kwanza hapo,afu rudi Tena hapa Ila kitu cha makushabu usiguse.

Iandikie hioooo.
Sasa mboyoyo mingi za nini, unakataa nini hapo?kwan kuna mbishe nimezingua chalii? Kwan ni kwa nini maraia wote chuga wanasererka kwa ngondi kwenye mbishe nying? Miaka mitatu ni mingi sana kwa mtu kulisoma eneo lolote lile, achana na hizo pigo za kiwaki, unaunguza stori jombaa
 
We ni reeeeeeee.
 
Pia watu huko ,maji ya kuoga wanayaona kama kituo Cha polisi. Mtu anavyaa koti moja mwaka mzima halioni maji. Jiji chafu sana hilo
Hahaaa kweli mkuu na unakuta ananuka sijui masigara au matumbaku yaaani
 
Hiace zimechoka, zimekongoroka
 
Arusha my home town, inasikitisha vi-hiace vinazagaa kama kunguni. Badilikeni vibaki kufanya kazi pembezoni mwa mji, zibaki TATA, Coaster na Eicher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…