Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Arusha inakwenda kushuhudia kile alichoacha Magu. Wamasai wanakwenda kushughulikiwa watakapotaka kufungua mdomo kutafuta haki yao katika hifadhi. Wananchi wanakwenda kufurushwa kwenye maeneo yao huku kikundi cha wanasiasa wachache wakishika sekta zote muhimu za uchumi.
Wabunge waliopo sasa wanatakiwa kuamua moja, kumsujudia au kusimama kwa misimamo yao wafurushwe kwenye chama. Wenye migogoro iliyotengenezwa na wanasiasa wanakwenda kupewa ahadi hewa kwa lengo la kutafuta popularity.
All in all hakuna RC anayeleta maendeleo yaliyokuwepo kwenye vitabu vya bajeti. Waliopo DSM wanakumbuka walivyoahidiwa mambo kibao lakini hadi leo hakuna jambo unaloweza kusema lilianzishwa likafanikiwa. Umaskini upo pale pale, usafi jumamosi haupo tena.
Ni kazi ngumu kuamini aliyeshindwa kwenye chama anaweza akafanikiwa kwenye mkoa . Migogoro itakuwa mingi