Arusha ilikua siku ya wanawake duniani au Siku ya Mhe.Raisi Samia Suluhu Hassan?

Arusha ilikua siku ya wanawake duniani au Siku ya Mhe.Raisi Samia Suluhu Hassan?

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
368
Reaction score
556
Wasalaam
Sifa nyingi kapewa mhe.
Kahaidiwa na kupata kura nyingi

Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na hilo)

Au alialikwa kama mgeni rasmi kwenye sikukuu ya wanawake?

Kama jibu ni la kwanza heko shughuli imefana sana...kama jibu ni la pili,basi wanawake hawajatendewa haki hasa wale wa mrengo au mtazamo mwingine kisiasa mathalani wanachama wa vyama vingine au wale ambao hawamuungi mkono au Sera zake(ni kawaida katika jamii yoyote)
 
Watu wamelishwa sana nyama pale Arusha ili wasahau shida zao kwa muda

Then wanaingiziwa kampeni kwa juu

Nakupenda sana Tanzania yangu
 
1741448055934.png
 
Nimeshangaa sana. Watu wamevaa picha ya mtu utadhani ndie mwanamke pekee Tz . Kampeni za waziwazi. Tunatia aibu.
 
Back
Top Bottom