Oldonyosambu alitumia bara bara ile ya vumbi ya mkato kutokea huko Rombo angeweza kufika Namanga pia ila kwenye hivi vijiji wanachofanya kwa mtu yeyote mgeni ukihamia hapo wanapeleka picha yako Serikali za mtaa ili wajue taarifa zako ili wasije kupata matatizo huko mbele...