Arusha Jiji Serikali yaachia TZS 5.2B kwaajili ya Vijana 4% Walemavu 2% na wanawake 4%

Naungana nawewe mkuu kwa hoja hii
 
Hii 10% ikitumiwa vizuri inaweza kuleta faida kubwa sana kwa watu wa chini
 
Wewe ndio umegundua leo?
 
Ahaaa sawa
 
Hongera Rais Samia
 
Hiki ni chuma kwelikweli, Endeleeni kuchapa kazi
 
Good
 
Baada ya miaka kadhaa tutaoneshwa mambo chakavu chakavu na watu wakihoji umeme na maji na barabara mbovu.siungai nali hili suala ni bora mtu aende bank akope asaudiwe.
 
Baada ya miaka kadhaa tutaoneshwa mambo chakavu chakavu na watu wakihoji umeme na maji na barabara mbovu.siungai nali hili suala ni bora mtu aende bank akope asaudiwe.
Unaachaje pesa ya bila riba mjomba?
 
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John Marco Pima aliukuna sana mtima wa Rais Samia Suluhu Hassan

Hii lugha gani hii? 😡😡

Ebu kuweni makini mnapoandika acheni lugha za ajabu, andika lugha au kiswahili sanifu, acheni ujinga plz
 
nimerekebisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…