Arusha Jiji Serikali yaachia TZS 5.2B kwaajili ya Vijana 4% Walemavu 2% na wanawake 4%

Arusha Jiji Serikali yaachia TZS 5.2B kwaajili ya Vijana 4% Walemavu 2% na wanawake 4%

yaani serikali imeingia kwenye biashara ya "mikopo"?

tangu lini serikali ni shirika la kutoa mikopo kwa wanadamu?

serikali bwana,utadhani ni wavuta bangi,wanaacha kazi zao serious wanaenda kuvamia kazi za mashirika mengine kabisa

kilichopo hapa ni kwamba,fedha zote zitapotea,badala ya kufanya kazi za kiserikali wataanza kufanya kazi za kutafutana na wakopaji,yaani serikali imegeuka kufanya kazi za ma-loan officers sasa!

yaani ni very very strange kiongozi wa serikali kuacha kazi zake za kiserikali na kuachia mikopo kama kazi za mabenki,eti yenyewe inageuka loaning organization kabisa ikiwa na team ya ma-loan officers kabisa

fukuza mamaee zao wote
Ubinafsi tu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Arusha imeshindwa kujenga Stand yao kwa pesa za makusanyo mpaka wanaomba msaada kwa Rais Samia . Rais anawaahidi kuna pesa ya mkopo tukipata tutakuja kujenga.

Hizo 5.2 B zina ukweli siyo kampeni zimeanza . Tutashuhudia mengi sana hii miaka iliyobakia mpaka 2025
 
Kupanga ni kuchagua mkuu
 
Leo ndo nimeamini kuna watu wanapinga bila ushahidi. Binafsi nimeshuhudia zaidi ya mara moja hii mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya watu kumi na kuendelea.
 
Arusha imeshindwa kujenga Stand yao kwa pesa za makusanyo mpaka wanaomba msaada kwa Rais Samia . Rais anawaahidi kuna pesa ya mkopo tukipata tutakuja kujenga.

Hizo 5.2 B zina ukweli siyo kampeni zimeanza . Tutashuhudia mengi sana hii miaka iliyobakia mpaka 2025
Kampeni zipi?
 
Kampeni zipi?
Zile pesa mamilioni walizoahidi kutoa kila kijiji zimeenda wapi wakati ndo ilikuwa kampeni .
Subiria itimize mwaka ufanye tathimini hizo pesa Kama walengwa walipata

CCM tunawajuwa hizo pesa ndizo zitatumika kunadi siasa kwenye jukwaa
 
Chini ya Sheria ya fedha ya Serikali za mitaa sura namba 290 kifungu cha 37 ya mwaka 2019 kila halmashauri inatakiwa kutenga 10% ya mapato yake kwa mwaka kwaajili ya maendeleo ya watu wa halmashauri husika kwa mchanganuo ufuatao, 4% kwaajili ya wanawake, 4% kwaajili ya Vijana na 2% kwaajili ya walemavu bila kujali dini, rangi,kabila au itikadi za siasa,

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John Marco Pima alimfurahisha Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kutoa tshs 1.37BL kwaajili ya kutekeleza sheria hiyo ya fedha kwa robo ya kwanza ( 1Q ) ya mwaka,Nakwamantiki hiyo kwa mwaka mzima Dk Pima kwa niaba ya Rais Samia atatoa jumla ya Tshs 5.2BL yaani Vijana watapata Tshs 2.08BL,Wanawake Tshs 2.08BL na Walemavu Tshs 1.04BL hii ni zaidi ya Commercial Bank,Arusha changamkieni fursa hii achaneni na mambo ya Ukamanda tumieni hizi fedha ili mjenge familia zenu najua ninyi kamwe hamuwezi kukimbilia Kanada mmecheleweshwa sana Arusha,

Angalia hii,Kama kila kikundi cha watu watano kitapewa Tshs 10M tu Rais Samia kupitia Arusha Jiji atasaidia Jumla ya vikundi 520 kwa mwaka na tutakuwa na Loan Portifolio ya watu|wateja zaidi ya 2,600 ambao kila mmoja atapewa mtaji wa kuanzia wa mil 2,Na hii ndio utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020|25 iliyoahidi ajira 8M kila mwenye macho na aone sasa Juhudi kubwa na nzuri za Rais Samia Suluhu Hassan Mkt wa ccm-tanzania.

Tanzania tuna Jumla ya halmashauri 184 kama kila Halmashauri itakuwa na Loan Portfolio ya wateja 1,000 tu nchi nzima kwa mwaka mmoja tutakuwa na Loan Portfolio ya watu 184,000 hapa Umasikini tutausikia tu redioni, Wakurugenzi wengine mnayohaja ya kuiga mfano huu mzuri wa Dk John Marco Pima mkurugenzi wa Jiji la Arusha na natamani matumizi ya 10% yawe ndio kigezo cha Ubora wa Mkurugenzi kwani wanachi lazima waone umuhimu wa kuendelea kuichagua CCM-Tanzania.

Good mama Samia
 
Zile pesa mamilioni walizoahidi kutoa kila kijiji zimeenda wapi wakati ndo ilikuwa kampeni .
Subiria itimize mwaka ufanye tathimini hizo pesa Kama walengwa walipata

CCM tunawajuwa hizo pesa ndizo zitatumika kunadi siasa kwenye jukwaa
Acha kuishi kwa mazoea
 
Back
Top Bottom