Arusha Jiji Serikali yaachia TZS 5.2B kwaajili ya Vijana 4% Walemavu 2% na wanawake 4%

Ubinafsi tu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Arusha imeshindwa kujenga Stand yao kwa pesa za makusanyo mpaka wanaomba msaada kwa Rais Samia . Rais anawaahidi kuna pesa ya mkopo tukipata tutakuja kujenga.

Hizo 5.2 B zina ukweli siyo kampeni zimeanza . Tutashuhudia mengi sana hii miaka iliyobakia mpaka 2025
 
Kupanga ni kuchagua mkuu
 
Leo ndo nimeamini kuna watu wanapinga bila ushahidi. Binafsi nimeshuhudia zaidi ya mara moja hii mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya watu kumi na kuendelea.
 
Kampeni zipi?
 
Kampeni zipi?
Zile pesa mamilioni walizoahidi kutoa kila kijiji zimeenda wapi wakati ndo ilikuwa kampeni .
Subiria itimize mwaka ufanye tathimini hizo pesa Kama walengwa walipata

CCM tunawajuwa hizo pesa ndizo zitatumika kunadi siasa kwenye jukwaa
 
Good mama Samia
 
Acha kuishi kwa mazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…