Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

Khaaa ila Chadema lini mtaanza kuwaza kizalendo?
 
Duuuh, Mbona hata ripota yuko Arusha?!!!
 
Kuwait
Hapo kwa obama

Mainjinia wetu michoro ya maana inawashinda?
 
Mleta uzi je nawe ni wale wale walamba makalio..

Hospitali ya 2.5 ukaiite ya hadhi kuwa katika jiji,kuwa serious kidogo.

Ofisi ya makamu wa raisi imetengewa bilioni 18 halafu jengo lenye kushika afya za watu imetengewa bilioni 2.5, takribani 1/6 ya bajeti ya ofisi
 
Acha utoto dogo, awamu ya 6 haina hata miezi 10 madarakani, hilo jengo limejengwa vipi chini ya muda huo? Acheni propaganda za kijinga. Nimesikia waziri wa maji naye anafanya wananchi kuwa ni wajinga anawaambia kuwa mradi wa maji 500b+, ni mama Samia kaamua kuweka hizo pesa, wakati mradi wenyewe ni wa toka enzi za JK.
 
Ww endelea kumpamba,tunasubiri 2025
 
Nyie ndio Wanafiki Mliomsifia sana magufuli mkampotosha mkaumiza watu...Na ndio mmeanza unafiki wenu kwq mama wa watu..Muacheni.

Hiki kijengo kidogo hivi ndio unapigia talalila nyiiingi hovyo kabisa.
 
Mama kama kaanza maigizo mapema hivi je atatoboa 2025? Haya maigizo ulikuwa huwezi kuyasikia awamu ya Jemedari Magufuli.
 
Hivi kweli 2.5B hospitali inaweza kuwa na viwango ulivyo visema? labda kama hujui hesabu au ujui vitu vinavyo itwa vya viwango... hospitali ya B 2.5 NI LEVEL ya kata kabisa si viwango vya kutibu watalii... leo nimeanza kuamini unaletaga habari za uongo....
Hebu tujuze hii hospitali imeanza kujengwa lini hii? unafikiri hatuifahamu hii hospitali? hiyo ni moja ya hospitali ya hovyo kuanzia huduma hadi kila kitu.... unaandika kwakuwa umepewa picha na habari za kuandika... waulize walio wai fika hapo.
 

Kipindi cha Magufuli sasa ndio ilikuwa kinyaa, data zilikuwa zinapikwa balaa, na ukisema ukweli unapotezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…