Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

Khaaa ila Chadema lini mtaanza kuwaza kizalendo?
Acha kudanganya watu Hospital haina hivyo viwango hata robo.

Kasoro kubwa kabisa ni matumizi ya kiwanja.Kiwanja ni kikubwa mpangilio wa majengo mbovu.

Majengo mawili tu ya ghorofa moja ni matumizi mabaya ya ardhi.

Hospital haina vifaa wala madaktari,kifupi leo nimejifunza kitu kikubwa taarifa nyingi za Serekali zimejaa mbwembwe tu hakuna uhalisia.
 
Hiyo hospital haina hata madaktari mie naishi hapa container njiro umeandika vitu vingine vya uongo. Haiwezekani Ikawa hospital kubwa east Africa kwa kulinganisha hospital zote. Inazidiwa hata na Ile st Joseph iliyopo pale sakina. Sema Wana eneo kubwa wakipata msaada zaidi watakuwa vizuri zaidi
Duuuh, Mbona hata ripota yuko Arusha?!!!
 
Kuwait
images - 2021-10-17T121302.458.jpeg

Hapo kwa obama
images - 2021-10-17T121328.240.jpeg

Mainjinia wetu michoro ya maana inawashinda?
 
Mleta uzi je nawe ni wale wale walamba makalio..

Hospitali ya 2.5 ukaiite ya hadhi kuwa katika jiji,kuwa serious kidogo.

Ofisi ya makamu wa raisi imetengewa bilioni 18 halafu jengo lenye kushika afya za watu imetengewa bilioni 2.5, takribani 1/6 ya bajeti ya ofisi
 
Acha utoto dogo, awamu ya 6 haina hata miezi 10 madarakani, hilo jengo limejengwa vipi chini ya muda huo? Acheni propaganda za kijinga. Nimesikia waziri wa maji naye anafanya wananchi kuwa ni wajinga anawaambia kuwa mradi wa maji 500b+, ni mama Samia kaamua kuweka hizo pesa, wakati mradi wenyewe ni wa toka enzi za JK.
ais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.

Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,

Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari,Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795,Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji,Kujenga ICU 72,Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640,Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni,

ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA
 
Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.​

Ww endelea kumpamba,tunasubiri 2025
 
Nyie ndio Wanafiki Mliomsifia sana magufuli mkampotosha mkaumiza watu...Na ndio mmeanza unafiki wenu kwq mama wa watu..Muacheni.

Hiki kijengo kidogo hivi ndio unapigia talalila nyiiingi hovyo kabisa.
 
Acha kudanganya watu Hospital haina hivyo viwango hata robo.

Kasoro kubwa kabisa ni matumizi ya kiwanja.Kiwanja ni kikubwa mpangilio wa majengo mbovu.

Majengo mawili tu ya ghorofa moja ni matumizi mabaya ya ardhi.

Hospital haina vifaa wala madaktari,kifupi leo nimejifunza kitu kikubwa taarifa nyingi za Serekali zimejaa mbwembwe tu hakuna uhalisia.
Mama kama kaanza maigizo mapema hivi je atatoboa 2025? Haya maigizo ulikuwa huwezi kuyasikia awamu ya Jemedari Magufuli.
 
Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.​

Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,

Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari,Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795,Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji,Kujenga ICU 72,Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640,Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni,

ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

Hivi kweli 2.5B hospitali inaweza kuwa na viwango ulivyo visema? labda kama hujui hesabu au ujui vitu vinavyo itwa vya viwango... hospitali ya B 2.5 NI LEVEL ya kata kabisa si viwango vya kutibu watalii... leo nimeanza kuamini unaletaga habari za uongo....
Hebu tujuze hii hospitali imeanza kujengwa lini hii? unafikiri hatuifahamu hii hospitali? hiyo ni moja ya hospitali ya hovyo kuanzia huduma hadi kila kitu.... unaandika kwakuwa umepewa picha na habari za kuandika... waulize walio wai fika hapo.
 
Acha kudanganya watu Hospital haina hivyo viwango hata robo.

Kasoro kubwa kabisa ni matumizi ya kiwanja.Kiwanja ni kikubwa mpangilio wa majengo mbovu.

Majengo mawili tu ya ghorofa moja ni matumizi mabaya ya ardhi.

Hospital haina vifaa wala madaktari,kifupi leo nimejifunza kitu kikubwa taarifa nyingi za Serekali zimejaa mbwembwe tu hakuna uhalisia.

Kipindi cha Magufuli sasa ndio ilikuwa kinyaa, data zilikuwa zinapikwa balaa, na ukisema ukweli unapotezwa.
 
Back
Top Bottom