Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

Hongera sana mama kwa jitihada zake.
Hata hivyo namshauri mh rais pamoja na wasaidizi wake, wasilale.
Wafuatilie utekelezaji na usimamizi wa mafungu hayo ya pesa.
Pamoja na lawama nyingi ambazo tunamtupia rais aliyepita, lakini kwenye eneo la usimazi alikuwa vizuri sana.
Pamoja na mambo mengine wahakikishe ule mchezo wa kuharibu mashine za ex ray kwenye hospitali za uma ili kutoa nafasi za kibiashara kwa hospitali binafsi ukome.
 
Nikisoma unayoandika huku nikilinganisha na yaliyosemwa na mafundi waliojenga uzio wa hospitali hiyo, nafunga mdomo ngoja wakati utasema.
 
Acha uongo hospital haijaanza kufanya kazi bado, kwa hiyo madakatari wakae tu hapo bure, subiri ifunguliwe ndo uanze lawama, dah watanzania puuuh,!!!
Bongo tuna aleji ya kuponda kila zuri la Tanzania hata kama hatuna data za kitu au jambo hilo.
Nadhani Muhimbili ijikite kutafuta chanjo ya alegi hiyo.
 
inasikitisha sana .
R.I.P Magufuli,
hii hospitali ilipaswa kujengwa CHATO ili kuhudumia watalii wa Burigi na maeneo jirani.
Arusha ni karibu na Nairobi na KCMC, okay usaliti.
Amen
 
kaskazini
 
Safi sana hii
 
Yaani ni ahadi za mama anajenga,mala amenunua,

Yani ni ahadi nyingi,sisi tunasubiri huu mwaka uishe tuone km kweli ametekeleza alivyoahidi
 
ndio hili jengo au vipi
 
 
Pongezi kwa hatua hii. Hata hivyo kwa muonekano wa Hospitali kama ilivyo kwenye hiyo video eneo hilo ni na kwa mahali lilipo ni kama halikutumika ipasavyo maana lingefaa kujengwa Hospitali ya kisasa zaidi na yenye hadhi.
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…